Watanzania na Viongozi Wangu wa Chama changu CCM na wapenzi,Wakareletwa bila kuwasahau wa Furukutwa wa CCM na Watanzania msio na itikadi ya kisiasa Habari za Jioni ,Niwatake radhi iwapo kuna nitakaowaudhi kwa Rayi yangu Kwetu sote ,Si Busara kufikiria kuibadrisha Katiba ya Nchi yetu ili tuingize kipengere cha kurefusha mda wa Urais toka Vipindi 2 vya Miaka 5+5 Tanzania hatupaswi kuiga Baadhi ya Viongozi wa Nchi Jirani kimfumo wa Utawala mfumo wa Nchi yetu Uko vizuri na hakuna Sababu kufikiria kuongeza mda wa kushika madraka ya Urais,Urais ni limzigo likubwa ajue uzito wake ndie anasikia uzito huo ,Ebu tuendelee na mfumo Wetu ambao pia unawapa Marais wetu kuwa na mda wa kupumzika pindi wamalizapo mda na ungwe yao ya Kuwepo ikulu Huku wakiendelea kushiriki Mambo Mengi na mazuri kwa ustawi wa mama Tanzania na Watanzania kwa ujumla ,Niwatakie tafakuri njema na Usiku mwema