Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,709
- 23,148
Endelea kuotaLisu
Endelea kuotaLisu
hongera wewe ambaye hujabanwa!Kila jamaa wakianzisha uzushi, mnawakosoa sasa wataishi vipi ? Kikwete alisema jamaaa wana viwanda vya uongo. Jamaa mnawaumiza sana ki saikolojia Mme wabana kila kona.
Tena awaambie atawashughulikia na kuwashitaki maana ni wachochezi.Anakemea mingapi hili kiwe gumu ?
Atoke hadharani aseme waoleta hizo habari ni wapumbavu sana.
Ni kweli mkuu. Hicho ndo anachotaka. Anataka kuandaa watu wa kuja kutuhadaa. Jiulize why hapendi kabisa upinzani?Nasikia et huyu jamaa anachojua kusema ukwel ni jina lake tu. Ni mtu mwenye uchu na madaraka kwa mtazamo wang, anaprove hil kwa jins alivojitaid kuua demokrasia, ili abak bila mpinzan hatak kukosolewa ili watu wamuone perfect waendelee kumkubal, kuninya uhuru wa vyombo vya habar n.k. so nitashangaa km kwel anania ya kufata katiba me nadhan anapostipon tu ili iyo hoja iibuliwe kwenye muhura wa mwisho now its too soon
JF itazimwa mkuu. Niamini mimi.Ngoja nikuweke kwenye Hansard zangu hapa, najua JF itakuwepo na tutafukua makaburi, INSHALLAH!
Hili linamfurahisha yeye la sivyo angekuwa amewachukulia hatua kali sana maana ni wachochezi na wanaleta taharuki ktk jamii.Kwa hili nadhani Magufuli yupo serious,na "system" pia ipo strict na hili,isipokuwa wehu fulani tu ndani ya chama wanataka iwe hivyo,na hawatapata wanachokitaka,iwe kwa mvua,iwe kwa jua.
Mkuu, hivi lini mtaanza kuhoji juu Mbowe kukaa kwenye uenyekiti kwa muda mrefu, tena bila ushindani? Kila anayetaka kugombea Uenyekiti yanamkuta yakutukuta (Wangwe, Zitto)!Vilevile na watanzania hawafurahishwi na mwenendo wa uongozi ulivyo!
lakini hata enzi za JK kuna watu walitaka hivyo ila akawapotezea kisela na mada ikayeyuka.Hili linamfurahisha yeye la sivyo angekuwa amewachukulia hatua kali sana maana ni wachochezi na wanaleta taharuki ktk jamii.
Huyu ana guts. Amedhamiria na mipango i wazilakini hata enzi za JK kuna watu walitaka hivyo ila akawapotezea kisela na mada ikayeyuka.
Labda na huyu anatumia same style
Wengi wao ukifuatilia wanaompinga Magu kwa kila jambo ni wale jamaa wa kuzungusha mikono na wapiga deal. Wamebanwa kila kona wapiga deal hawana pa kimulia na wazungusha mikono hakuna maandamano wala mikutano ya siasa kwa hiyo posho imekata kina Mbowe hawatoi tena. Kilichobaki ni kutukana na kukejeli mitandaoni lakini hili haliwasaidii.Katiba nzuri iko kenya je imewasaidia au ndo kulialia kila kona. JPM atawanyoosha tu. Hii tabia yenu ya uvivu na kuomba omba kwa wajomba mwafaa
Wakishirikiana na IMFWengi wao ukifuatilia wanaompinga Magu kwa kila jambo ni wale jamaa wa kuzungusha mikono na wapiga deal. Wamebanwa kila kona wapiga deal hawana pa kimulia na wazungusha mikono hakuna maandamano wala mikutano ya siasa kwa hiyo posho imekata kina Mbowe hawatoi tena. Kilichobaki ni kutukana na kukejeli mitandaoni lakini hili haliwasaidii.
Tambueni Magufuli Rais hadi 2025 mtanyooka tu. Kafanyeni kazi
Kwani Nkamia ni miongoni mwa hao jamaa wanao anzisha uzushi?.Kila jamaa wakianzisha uzushi, mnawakosoa sasa wataishi vipi ? Kikwete alisema jamaaa wana viwanda vya uongo. Jamaa mnawaumiza sana ki saikolojia Mme wabana kila kona.
Kwani Nkamia ni miongoni mwa hao jamaa wanao anzisha uzushi?.Kila jamaa wakianzisha uzushi, mnawakosoa sasa wataishi vipi ? Kikwete alisema jamaaa wana viwanda vya uongo. Jamaa mnawaumiza sana ki saikolojia Mme wabana kila kona.