Hatuko salama. Huyu mama mbona hivi? Ngorongoro, Tancoal, Petra, Bandari, burgeoning of the national debt, you name it…Akizungumza leo Agosti 24, 2025 kwa njia ya Mtandao, Mwanasiasa na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema:
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Nilivyomsikia Polepole ni kuwa zile asilimia 30 Rostam alinunua toka kwa kampuni ambayo ilikuwa inamiliki asilimia 70 hivi. Kwa nini kampuni hiyo iliuza hisa kwa Rostam badala ya serikali, hatuwezi jua. Nipo tayari kukosolewa hapa otherwise, tupo pamoja.Hili Nalo ukiwa Mzalendo na mwenye Akili lazima likusikitishe kwelikweli !!.
Magufuli mwaka 2017 alikamata kafurushi kadogo ka almas kakitoroshwa kakiwa na Thamani ya abilioni 60.
Baada ya Magufuli Kufa, Serikali ya Samia ikauza 30% ya Mgodi huo Kwa Rostam Aziz Kwa Bilion 30 achimbe miaka na miaka!!.
Daahhhhh ama kweli Wahuni wameishika Nchi !!.
Aah, bilioni 5!!!!??? Oktoba 29 mbali sana aiseeNashindwa hata kuendelea kuandika lolote katika hili.
Kweli kabisa, Mgodi wenye Uhai wa miaka karibu 400, unauza Asilimia 70 yake Kwa Bilioni 5??.
Alafu kumbe hata hiyo Bilion Tano hajalipa yote, kalipa Bilioni 2, na bado Serikali hailipwi chochote tangu Uchimbaji wake .
INATIA HASIRA .. hivi Hawa Machawa ,wa Mama anaupiga mwingi, wenzetu ni Watanzania kabisa???.
Wanaanzisha Matozo Kila Mahali kumkandamiza Mtanzania, ili hali Pesa ipo tele ?.
Mpuuzieni huyu juha hana lolote. Anabwabwaja wakati awamu iliyopita ndo hao hao walituonea Na kumuua akwilina na kutoa statement za kukera eti risasi ilienda juu halafu ikatua kwa akwilina.Akizungumza kwa njia ya mtandao Balozi wa zamani nchini Cuba amesema tumeuzwa tumepigwa bei.
..eti kodi kupata hela mfuko wa kukabiliana na ukimwi, halafu unampa mtu mgodi wa lifespan miaka zaidi ya 100 kwa billion 5 ndio maana ya kuweka waziri wa madini aina ya huyu aliyepo..ambae hata umpe ukatekista hataweza! Mavunde..tunawekewa watu wa ajabu kabisa, hata huyo mwenyekiti tume ya madini huyo mama ni vikaragosi tu..ili wawe rubber stamp kuhalalisha uporaji!Nashindwa hata kuendelea kuandika lolote katika hili.