Humphrey Polepole: Tafakari, tumeuzwa, tumepigwa bei. Rostam Aziz amepewa migodi kwa bei ya kulangua!

Humphrey Polepole: Tafakari, tumeuzwa, tumepigwa bei. Rostam Aziz amepewa migodi kwa bei ya kulangua!

..rostam ni dalali hicho ndio unapaswa kujua..tunamjua toka anatumikia kampuni ya familia yao ikiitwa ATD.

hahahahaaha umefika huku tena, Hata wewe unaweza kuwa tycoon kama RA sio issue sana, ni issue ya risks, timing, connections, na muda.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudani.
 
Chuki zenu za kishamba kwa Muislamu zitawatokea puani. Mada Migodi imeuzwa na Rais mwengine 2021. Michuki yenu ya kukalilishwa Makanisani mnakuja kuumbuka JamiiForums!!!!

sasa hata jinsi ya kuipanga mnashindwa. Tafuteni dawa mpone chuki dhidi ya Dini ya KISLAM. SAMIA SULUHU HASSAN Ni. RAIS 25 - 30 meza na maji.
Hivi kijana wa kimujahadeen (mdogoye) ni wapi nimekuambia kuwa nina chuki na Muislam kuongoza hii nchi? Kwa akili yako hivi huoni hata haibu kutetea upuuzi aufanyao Mama Abdul kweli?
 
Mpuuzieni huyu juha hana lolote. Anabwabwaja wakati awamu iliyopita ndo hao hao walituonea Na kumuua akwilina na kutoa statement za kukera eti risasi ilienda juu halafu ikatua kwa akwilina.

Yani wabongo tunasahau haraka sana. Eti leo hii takataka hii inaitwa shujaa.
Uzuri alishaomba radhi kwa watanzania na kusema kuwa tugange yajayo. Kwa sasa ni mtu muhimu kwa raia kwa maana anatufunulia mengi tuliokuwa pengine hatuyafahamu.
 
Si huyu Rostam alikuwa rafiki wa Magufuli akamkaribisha hadi Ikulu na kumuachia huru kaka yake kwenye kashfa ya ufisadi.

Halafu Leo Hoi polepole kageuka kuwa shujaa.
Rostam is a crook. Alijaribu kuji camouflage kipindi cha Magufuli kuonesha kuwa amebadilika ili asibinywe pumbu.
 
Rubbish. Nyerere alipojengewa nyumba kubwa na JWTZ sliikayaa akisema kwani mie ni tembo? Rostam naye hivo hivo Nchi nimkubwa sana hawezi kuila yote ni kisingizio tu. Viwanda vya Sementi na NMB na TBL ni vikubwa zaidi viko kwa matajiri pia mbona Rostam hakupewa? Williamson Diamonds ni mpya, mbona ilishauzwa na wenyewe Rostam anaongiaje? Polepole kasoma nusunusu hajui international business practices hupitia Soko la hisa, awatafite De Beers na Russian oligopolists.
 
Pumbavu mkubwa hujui hata aliyetufikisha hapa ni nani? Wewe unadhani bila michezo michafu ya magufuli aliyoianzisha mwaka 2016 kusimamisha shughuli za vyama, kuteka na kuua wakosaji, kuiba uchaguzi wote wa 2019 na wa 2020 na kununua wabunge wa upinzani kwani tungefika hapa?

All in all Samia amejitahidi kupunguza mengi sema mijitu haioni na misahaulifu
Bana kinyeo hicho wewe, bwa bwaaaa! Wahuni watapita nacho shauri yako
 
Rubbish. Nyerere alipojengewa nyumba kubwa na JWTZ sliikayaa akisema kwani mie ni tembo? Rostam naye hivo hivo Nchi nimkubwa sana hawezi kuila yote ni kisingizio tu. Viwanda vya Sementi na NMB na TBL ni vikubwa zaidi viko kwa matajiri pia mbona Rostam hakupewa? Williamson Diamonds ni mpya, mbona ilishauzwa na wenyewe Rostam anaongiaje? Polepole kasoma nusunusu hajui international business practices hupitia Soko la hisa, awatafite De Beers na Russian oligopolists.
Akili yako iko kwenye mtandao wa simu.
 
Kwa tuhuma za Chuki tu kwakuwa ni MUISLAMU

nenda police mwambie mm nimekalilishwa kanisani kwetu kuwa Rais anaharibu Nchi mbona sasa hamumkamati!!!!

Watakuuliza vip anaharibu !!!

utawajibu jinsi Umekalilishwa

mfano kwasasa SGR badala ya kuendelea na ujenzi kuitafuta Ki Kiyeye anaezua mataruma ya reli

kwenye Barabara napo kwasasa zinabomolewa nchi Nzima n hakuna Ujenzi!!

kwenyemakusanyo ya kodi TRA napo makusanyo yameshuka kutoka Bilioni 10 mpaka sasa eti Bilioni 2 tu nchi anaharibu nanyinyi mpo.

Kamkamateni watakuelewa na kukusifia.Mwamba

lkn kusema tu anaharibu kichuki chuki tu kisa Rais muislamu jua kunauwezekano utafunguliwa kesi ya Uchochezi,,

kuusu kutekwa watu na kupotea ayo matukio yapo siku nyingi ndani ya Chadema kwenyewe Dk Slaa katwambia kuna kundi lilikuwa linateka watu wakiwemo wanachama wao wenyewe ili kusingizia Serikali!!!

Viongozi wa Dini hatukuwai kuwasikia wakikikemea chama cha Chadema ajabu na unafiki wao!!

Mbaya zaidi wanaotekwa wapo Wanasiasa wa vyama vyote mpaka CCM wenyewe wanatekwa wapinzani wanatekwa wananchi kawaida pia wanatekwa
mambo aya tunafaam Rais kayakuta yapo tunatekana wenyewe wananchi kwa wananchi

Serikali yoyote Duniani kudhibiti kwa %100 ngumu !!

tunatakiwa Wananchi wenyewe tuache izo tabiya.

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN October 28 tunatiki✅️
Unakera sana. Bhasi tuu. Huna utofauti na vibakuli
 
Back
Top Bottom