Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,106
- 1,790
Wameshalewa pombe za Bure muda huu🙂Michawa muda huu inakoroma subiri iamke😀
Wameshalewa pombe za Bure muda huu🙂Michawa muda huu inakoroma subiri iamke😀
Samia alikuwa makamu, na ndio maana anashauri pawe na kumwanga oil kwa sababu utawala wa samia umeendelea kufanya mauaji kwa raia, wanasiasa na kushambulia viongozi wa diniMpuuzieni huyu juha hana lolote. Anabwabwaja wakati awamu iliyopita ndo hao hao walituonea Na kumuua akwilina na kutoa statement za kukera eti risasi ilienda juu halafu ikatua kwa akwilina.
Yani wabongo tunasahau haraka sana. Eti leo hii takataka hii inaitwa shujaa.
Maajizi acheni kuhangaika, uzi wote huu umejaa comments zako tu.Si huyu Rostam alikuwa rafiki wa Magufuli akamkaribisha hadi Ikulu na kumuachia huru kaka yake kwenye kashfa ya ufisadi.
Halafu Leo Hoi polepole kageuka kuwa shujaa.
Dah mkuu mimi siyo mwizi.Maajizi acheni kuhangaika, uzi wote huu umejaa comments zako tu.
Usalama na Jeshi wamesheheni MAKADA wa CCM, ni huzuni ndugu.Kwanza Naomba niulize, hivi nchi hiii ina usalama wa Taifa na jeshi kweli?
Inasikitisha sanaUsalama na Jeshi wamesheheni MAKADA wa CCM, ni huzuni ndugu.
Yaan nimeacha kisikiliza nimeona kama roho inataka kunitoka ivi kweli hii nchi ina mifumo??mbona watu sio wazalendo jaman tunaibiwa namna hii na wahuniAah, bilioni 5!!!!??? Oktoba 29 mbali sana aisee
Your name, though pseudo, is a true reflection of your thinkingMpuuzieni huyu juha hana lolote. Anabwabwaja wakati awamu iliyopita ndo hao hao walituonea Na kumuua akwilina na kutoa statement za kukera eti risasi ilienda juu halafu ikatua kwa akwilina.
Yani wabongo tunasahau haraka sana. Eti leo hii takataka hii inaitwa shujaa.
Ilitoboka tena sana wakati huyu huyu polepole alivyokuwa madarakni. Mpuuzieni
[/QUOT
Kumpuuza ni ngumu Sana!
Mpuuzieni huyu juha hana lolote. Anabwabwaja wakati awamu iliyopita ndo hao hao walituonea Na kumuua akwilina na kutoa statement za kukera eti risasi ilienda juu halafu ikatua kwa akwilina.
Yani wabongo tunasahau haraka sana. Eti leo hii takataka hii inaitwa shujaa.
Nambo ya risasi muulize IGP na polisi wakeMpuuzieni huyu juha hana lolote. Anabwabwaja wakati awamu iliyopita ndo hao hao walituonea Na kumuua akwilina na kutoa statement za kukera eti risasi ilienda juu halafu ikatua kwa akwilina.
Yani wabongo tunasahau haraka sana. Eti leo hii takataka hii inaitwa shujaa.
Chuki zenu za kishamba kwa Muislamu zitawatokea puani. Mada Migodi imeuzwa na Rais mwengine 2021. Michuki yenu ya kukalilishwa Makanisani mnakuja kuumbuka JamiiForums!!!!Hivi Mama Samia hawezi kamatwa na kuwekwa selo kwa kuiuza hii nchi maana hatufai hata kidogo.
Wajinga bwana, tunaangalia hoja zake! Nani kamwita shujaa sasa!?Mpuuzieni huyu juha hana lolote. Anabwabwaja wakati awamu iliyopita ndo hao hao walituonea Na kumuua akwilina na kutoa statement za kukera eti risasi ilienda juu halafu ikatua kwa akwilina.
Yani wabongo tunasahau haraka sana. Eti leo hii takataka hii inaitwa shujaa.
Unazo akili timamu kweli wewe?Ilitoboka tena sana wakati huyu huyu polepole alivyokuwa madarakni. Mpuuzieni
Kwanza Naomba niulize, hivi nchi hiii ina usalama wa Taifa na jeshi kweli?