mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Inaonekana rostam ni mtu mkubwa sana kwenye hii nchi.hajaanza Leo tangu kikwete
Kwa tuhuma za Chuki tu kwakuwa ni MUISLAMUHivi Mama Samia hawezi kamatwa na kuwekwa selo kwa kuiuza hii nchi maana hatufai hata kidogo.
Ww Tulia kipindi cha magu huu migodi walisimamishwa mpaka walipokubali 50% kwa 50%.Si huyu Rostam alikuwa rafiki wa Magufuli akamkaribisha hadi Ikulu na kumuachia huru kaka yake kwenye kashfa ya ufisadi.
Halafu Leo Hoi polepole kageuka kuwa shujaa.
Ww ulitakaje? Kuzungumza namna ya rasilimali zinavyopigwa ni ujuha? Kosoa alicho kisema kuwa rostam haja tupiga kwenye ununuzi wa mgodi huo kwa hoja tukuamini wewe tuachane na polepole juha km unavyomwitaMpuuzieni huyu juha hana lolote. Anabwabwaja wakati awamu iliyopita ndo hao hao walituonea Na kumuua akwilina na kutoa statement za kukera eti risasi ilienda juu halafu ikatua kwa akwilina.
Yani wabongo tunasahau haraka sana. Eti leo hii takataka hii inaitwa shujaa.
Tutaanza na yeye halafu atawataja wenzakeHii Sheria ni muhimu sana, hasa katika uwakibikaji wa viongozi
Mzee wa Nyau de A umerudiMpuuzieni huyu juha hana lolote. Anabwabwaja wakati awamu iliyopita ndo hao hao walituonea Na kumuua akwilina na kutoa statement za kukera eti risasi ilienda juu halafu ikatua kwa akwilina.
Yani wabongo tunasahau haraka sana. Eti leo hii takataka hii inaitwa shujaa.
Hiyo kampuni iliyouza hisa imesajiliwa soko la hisa la nje ya nchiMnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Nilivyomsikia Polepole ni kuwa zile asilimia 30 Rostam alinunua toka kwa kampuni ambayo ilikuwa inamiliki asilimia 70 hivi. Kwa nini kampuni hiyo iliuza hisa kwa Rostam badala ya serikali, hatuwezi jua. Nipo tayari kukosolewa hapa otherwise, tupo pamoja.
Sahihi kabisa Chief, Kampuni hiyo imeuza asilimia 30 ya hisa zake, sasa je hapo kuna nongwa kweli?? Kuna namna ujamaa wetu unatufanya tuwaone wenye fedha ni wezi tu....au kila mali tunadhani ni ya SerikaliMnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Nilivyomsikia Polepole ni kuwa zile asilimia 30 Rostam alinunua toka kwa kampuni ambayo ilikuwa inamiliki asilimia 70 hivi. Kwa nini kampuni hiyo iliuza hisa kwa Rostam badala ya serikali, hatuwezi jua. Nipo tayari kukosolewa hapa otherwise, tupo pamoja.
Na ikumbukwe mgodi wa Mwadui uliuzwa toka enzi za uhuru huko: katika hili Rais Samia asialumiwe kwa kweli... hata kipindi cha JPM serikali ilikuwa na hisa zile zile 25 na hadi sasa ni hizo hizo 25... Pole pole angekuwa na hoja kama serikali ingeuza hisa zake kwa Rostam kwa bei ya kutupwa.... lakini katika hili hakuna hoja kiuchumi, kimahesabu ama kiuhalisia...Hiyo kampuni iliyouza imesajiliwa soko la hisa la nje ya nchi
Hakuna aliyewazuia serikali au mtanzania yeyote akiwemo Polepole kwenda kwenye mnada wa soko la hisa huko nje kwenda kununua hisa za hiyo kampuni ya nje
Comrade, mbona unalazimisha watu wampuuze Polepole? Sawa tutampuuza! Na vipi kuuhusu hoja zake? Na zenyewe tuzipuuze? Mfano hiyo kashfa ya kuuziwa mgodi wa makaa ya mawe kwa bilioni 5 tu ni sahihi?Ilitoboka tena sana wakati huyu huyu polepole alivyokuwa madarakni. Mpuuzieni
Hapo ndipo mnapokosea kumnasibisha mtu na uislamuTatizo la kwanza, waislamu wana matatizo makubwa kiakili na kitabia..kila kunapokuwa na kiongozi muislamu mambo za namna hii znashamiri..na huwezi wasikia kabisa wakikemea uhuni km huu..!
Una uhakika familia ya Rostam Aziz na Singasinga kwa mfano, inaishi Tanzania! Labda baadhi ya hao wahuni wenzake. Hao wapo humu nchini kutuibia tu raslimali zetu na kwenda kuwekeza kwenye nchi zao pendwa.Uzuri vizazi vyao navyo vinaishi Tanzania mambo yote hayo yatalejea kwa wananchi sio muda
Mkatoliki mwenzenu magufuli alivyokua anateka hatukuona ma padre wakiimba taarabu makanisani kwa kiwango wanachoimba sasa sana sana tulimuona mnampa kikapu achangishe sadaka kwenye ibadaTatizo la kwanza, waislamu wana matatizo makubwa kiakili na kitabia..kila kunapokuwa na kiongozi muislamu mambo za namna hii znashamiri..na huwezi wasikia kabisa wakikemea uhuni km huu..!
Ina usalama wa rais.Kwanza Naomba niulize, hivi nchi hiii ina usalama wa Taifa na jeshi kweli?
..umerudi tena na ngonjera zako kutetea upuuzi wa rostam, hiyo michezo ya madeni bandia ili supplier ageuke mmiliki wa biashara danganya watoto..supplier anabaki kuwa supplier hana uwezo na maarifa kufanya biashara ya mwenye biashara!Serikali haikuuza hiyo migodi tafuteni taarifa sahihi.
Makampuni yaliyokuwa yanamiliki Hisa ndio yaliuza Hisa zake Kwa kuongezewa hela kufidia madeni waliokuwa wanadaiwa na kampuni ya Taifa group kupitia kampuni yake ya TAIFA mining/Caspian mining.
GOT anashare kwenye hiyo migodi karibia au 40% na 60% ndio zilikuwa Mali ya muwekezaji na ndio ameuziwa RA.
Makampuni ya RA ndio walikuwa watoa huduma kwenye hiyo migodi waliokuwa na scope kubwa ya kazi na invoices kubwa.
Petra ni kampuni ya SA ilikuwa ilimiliki hisa Williamson na Tancoal ni Australians waliokuwa wakimiliki hisa pale Ngaka Songea.
Kwasasa exporter mkubwa wa Makaa ya mawe Tanzania ni Ruvuma coal ambaye ndio anacchimba volume kubwa.
Mnunuzi mkubwa wa Almasi duniani ni Debeers ndiye mpangaji wa bei za Almasi ukimzingua hanunui Almasi yako.
Safarini Khartoum Sudani.