Humphrey Polepole: Tafakari, tumeuzwa, tumepigwa bei. Rostam Aziz amepewa migodi kwa bei ya kulangua!

Humphrey Polepole: Tafakari, tumeuzwa, tumepigwa bei. Rostam Aziz amepewa migodi kwa bei ya kulangua!

Pumbavu mkubwa hujui hata aliyetufikisha hapa ni nani? Wewe unadhani bila michezo michafu ya magufuli aliyoianzisha mwaka 2016 kusimamisha shughuli za vyama, kuteka na kuua wakosaji, kuiba uchaguzi wote wa 2019 na wa 2020 na kununua wabunge wa upinzani kwani tungefika hapa?

All in all Samia amejitahidi kupunguza mengi sema mijitu haioni na misahaulifu
Chawa umepuliziwa dawa ya rungu kiboko ya wadudu wanaoruka na wanaotambaa! 😂😂😂
 
Wabongo uwa wanapenda mtu awapambaninie kama anavyofanya chadema, lisu , polepole. Wenyewe kujisimamia hawawezi. Kuingia barabaran wameshindwa msituni wataweza

Ats viongoxi wakiuza nchi mbongo hawez kujisimamia. Polepole anapoteza muda wake. Kama alikua anazani akiongea ayo yte ata wahamasisha watanzania basi kakosea labda wakenya
 
Sijatetea mtu hapo, mie nipo upande wa deal la kibiashara sababu mie ni mfanya biashara na najua ninachoongea hapa.

Hakuna cha kushangaza hapo ni kwamba majority ya watanzania ni vilaza na wanachojua ni ratiba ya simba na yanga tu
Hujui lolote kuhusu uongozi wewe. Huwezi kuwa kwenye ma-deal machafu machafu yote halafu useme wewe ni mtoto wa mjini. By the way Polepole alitoa mfano wa Rostam kuonyesha kuwa Samia hafai...
 
Kwa maneno hayo ni kwamba hata Rais Magufuli alichezwa kijanja, hao Williamson na Petra kuna namna wana uhusiano ambao mwanzo hawakuuonesha kwa kulinda identity ya wamiliki halisi.
 
Sijatetea mtu hapo, mie nipo upande wa deal la kibiashara sababu mie ni mfanya biashara na najua ninachoongea hapa.

Hakuna cha kushangaza hapo ni kwamba majority ya watanzania ni vilaza na wanachojua ni ratiba ya simba na yanga tu


Kuwatetea Mtandao inabidi ujitoe akili, uache kutumia kichwa. Utumie Masaburi. Bila hivyo ni ngumu sana. Ukiwa na akili na unajielewa. Huwezi unanyamaza tu basi.
 
Pumbavu mkubwa hujui hata aliyetufikisha hapa ni nani? Wewe unadhani bila michezo michafu ya magufuli aliyoianzisha mwaka 2016 kusimamisha shughuli za vyama, kuteka na kuua wakosaji, kuiba uchaguzi wote wa 2019 na wa 2020 na kununua wabunge wa upinzani kwani tungefika hapa?

All in all Samia amejitahidi kupunguza mengi sema mijitu haioni na misahaulifu
Nilianza kufuatilia michango yako tangu enzi za Jiwe, Una haki na Uhuru wa kuchangia ila kumbuka KARMA!

Kwa mara ya Kwanza katika historia ya nchi hii ni katika awamu ya Magufuli wamiliki WA hospitali binafsi zikiwemo za dini waliamza kuililia serikali kukosa wateja baada ya wagonjwa wengi kukimbikia kutibiwa hospitali na vituo vya serikali....Leo hii ndugu zako na wazazi wako kijini wanahangaika kukosa matibabu maana tumerudi kuleee! Tafakari,
 
..umerudi tena na ngonjera zako kutetea upuuzi wa rostam, hiyo michezo ya madeni bandia ili supplier ageuke mmiliki wa biashara danganya watoto..supplier anabaki kuwa supplier hana uwezo na maarifa kufanya biashara ya mwenye biashara!

sidhani kama unauelewa wa haya mabiashara zaidi ya mtazamo hasi ambao umeshajijengea juu ya mtu fulani.

Petra na Tancoal kumbuka ni international companies zinalindwa na mikataba yakimataifa Kama kuna mahala zimefanayiwa uhuni kwa msaada wa GOT unafikiri wangekaa kimya.? bila kufungua kesi mahakama za nje?

Tafuta taarifa sahihi ili uwe na hoja za msingi na sio hisia kwasababu tu humpendi fulani.

ndani ya viunga vya Khartoum Sudani.
 
Polepole ameelezea jinsi Rostam alivyojitwalia Mgodi wa Makaa ya Mawe kwa bei chee (Bilioni 5 tu).

———

Rostam Aziz anamiliki hisa katika kampuni kadhaa zinazojihusisha na uchimbaji madini ya makaa ya mawe, hasa kampuni yake ya Taifa Mining and Civils ambayo ilinunua hisa za kutosha katika Mgodi mkubwa kabisa nchini wa TANCOAL, kutoka Intra Energy Corp. mwaka 2021

Rostam alikuwa mwanahisa mwenye hisa nyingi katika kampuni ya TANCOAL, ambayo inaendesha mgodi wa Makaa ya Mawe wa NGAKA (mgodi mkubwa kuliko yote nchini)

Taifa Mining ilinunua hisa nyingi toka Intra Energy mwishoni mwa mwaka 2021 na hisa binafsi za Rostam ndani ya Taifa Group ziliwekwa bayana mwanzoni mwa mwezi Aprili 2025
sasa sis amewekeza....mimi kila siku nasema ngozi ya taa call tuna shida....waliomuuzia huyo roho sitamu ni ngozi ya taa call, huwezi kwenda kwa waarabu au wazungu hata uwe na hera vipi
 
Mpuuzieni huyu juha hana lolote. Anabwabwaja wakati awamu iliyopita ndo hao hao walituonea Na kumuua akwilina na kutoa statement za kukera eti risasi ilienda juu halafu ikatua kwa akwilina.

Yani wabongo tunasahau haraka sana. Eti leo hii takataka hii inaitwa shujaa.
Hiyo ilikua zamani.. mtume Paulo alikuwa mnyang'anyi mwizi mwenye vurugu mbabikizaji wa kesi. Ila aliposikia Neno la Yesu kristu akaamini na akatubu amekuwa ni Mmoja ya nitumie.mfano wa kuigwa alieneza na kusambaza Neno la bwana Yesu kristo..

Hiyo sio Hoja.. kwanza unanekana ni mjinga kuujua ukweli na kuukalia kimya
 
Wabongo uwa wanapenda mtu awapambaninie kama anavyofanya chadema, lisu , polepole. Wenyewe kujisimamia hawawezi. Kuingia barabaran wameshindwa msituni wataweza

Ats viongoxi wakiuza nchi mbongo hawez kujisimamia. Polepole anapoteza muda wake. Kama alikua anazani akiongea ayo yte ata wahamasisha watanzania basi kakosea labda wakenya
Hata mm ni shangaa alikua barozi anakula mshahara eti kaacha kazi kutetea wa Tanzania sisi hawa ambao bado tume lala usingizi wa pono.
 
Back
Top Bottom