Humphrey Polepole: Tafakari, tumeuzwa, tumepigwa bei. Rostam Aziz amepewa migodi kwa bei ya kulangua!

Hili Nalo ukiwa Mzalendo na mwenye Akili lazima likusikitishe kwelikweli !!.

Magufuli mwaka 2017 alikamata kafurushi kadogo ka almas kakitoroshwa kakiwa na Thamani ya abilioni 60.

Baada ya Magufuli Kufa, Serikali ya Samia ikauza 30% ya Mgodi huo Kwa Rostam Aziz Kwa Bilion 30 achimbe miaka na miaka!!.

Daahhhhh ama kweli Wahuni wameishika Nchi !!.
30% sh bilioni 30, kwa hiyo thamani ya mgodi ni sh bilioni 100!
 
Ukishakuwa na hela mambo mengi huwezekana. Lakini sheria zetu zina loopholes nyingi za dili kama hizi kufanyika plus kuna element ya uanamtandao
 
Mpuuzieni huyu juha hana lolote. Anabwabwaja wakati awamu iliyopita ndo hao hao walituonea Na kumuua akwilina na kutoa statement za kukera eti risasi ilienda juu halafu ikatua kwa akwilina.

Yani wabongo tunasahau haraka sana. Eti leo hii takataka hii inaitwa shujaa.
Mwizi akija kukwambia kuna mtu anakujaga kuiba ndani kwako utampuuza kwakua alishawahi kukuibia??
 
Mkatoliki mwenzenu magufuli alivyokua anateka hatukuona ma padre wakiimba taarabu makanisani kwa kiwango wanachoimba sasa sana sana tulimuona mnampa kikapu achangishe sadaka kwenye ibada
ulikuwa wapi wakati katoliki wanatoa nyaraka za pasaka kuhusu utawala wa Magufuli pale alipokiuka haki za binadamu?
 
Hili Nalo ukiwa Mzalendo na mwenye Akili lazima likusikitishe kwelikweli !!.

Magufuli mwaka 2017 alikamata kafurushi kadogo ka almas kakitoroshwa kakiwa na Thamani ya abilioni 60.

Baada ya Magufuli Kufa, Serikali ya Samia ikauza 30% ya Mgodi huo Kwa Rostam Aziz Kwa Bilion 30 achimbe miaka na miaka!!.

Daahhhhh ama kweli Wahuni wameishika Nchi !!.
Hii nchi ni kama haina mwenyewe. Wenye Mamlaka ya kuwaweka madarakani hao wezi, wanalilia tu kama Makinda ya ndege yenye njaa yakisubiri mama ndege ayaletee chakula. Tumelogwa? Shtuka, kataa, hakuna Uchaguzi.
 
Hii sio kweli...Moja ya namna Rostam aliotumia kuupata mgodi wa Mwadui ni baada ya kutoa huduma kama mchimbaji kupitia kampuni ya Caspian .. now Taifa..Bill ilikua kubwa kiasi kwamba Petra ilianza kubadilisha madeni kuwa hisa...baada ya hapo the rest is history.
 
Tatizo la kwanza, waislamu wana matatizo makubwa kiakili na kitabia..kila kunapokuwa na kiongozi muislamu mambo za namna hii znashamiri..na huwezi wasikia kabisa wakikemea uhuni km huu..!
Benjamin mkapa alikua muislam
 
Hii sio kweli...Moja ya namna Rostam aliotumia kuupata mgodi wa Mwadui ni baada ya kutoa huduma kama mchimbaji kupitia kampuni ya Caspian .. now Taifa..Bill ilikua kubwa kiasi kwamba Petra ilianza kubadilisha madeni kuwa hisa...baada ya hapo the rest is history.
Wewe na Rostam nani ana access zaidi na mambo ya nchi hii? Unamjua Rostam wewe? Unamjua Polepole?. Rostam.ni jitu kubwa lenye mambo mengi machafu na mazito. Na linatumika mpaka na wakubwa huko duniani.
 
Tatizo la kwanza, waislamu wana matatizo makubwa kiakili na kitabia..kila kunapokuwa na kiongozi muislamu mambo za namna hii znashamiri..na huwezi wasikia kabisa wakikemea uhuni km huu..!
Kaka mi ni muislamu sijubaliani na hio inshu ya rostam tafadhali sana kwenye mambo yako usilete udini utaharibu jambo jema kuwa la hovyo chondechonde nakuomba sana

Fullstop, kwishaaa
 
Ulitegemea nn serikali kuongozwa na CHURA a.k.a Dalali na hao ndio wanakula nchi yetu.
KAZI ni kipimo cha utu
 
“Mnafahamu mgodi mkubwa sana wa almasi upo Mwadui, Shinyanga tangu enzi za Mwalimu Nyerere, unaitwa Williamson Diamonds? Almasi inayopatikana pale haipatikani popote ulimwenguni. Almasi yake ni rangi ya pinki. Malkia Elizabeth II wa Uingereza alipewa almasi hiyo akaweka kama pambo katika kofia yake.., SSH alipoingia madarakani 2021, Rostam Aziz alinunua 31½% ya mgodi wa Williamson Diamonds kwa gharama ya US$11 milioni (TZS 30 bilioni)” - Balozi Humphrey Polepole.

“Mwaka 2017 wakati Rais ni JPM, tulikamata kafurushi kadogo ka' almasi JNIA. Kafurushi kalikuwa kanamilikiwa na kampuni ya Petra Diamonds ambayo ndiyo inamiliki 31½% nyingine za mgodi wa Williamson Diamonds (wakati ule walikuwa wanamiliki 75% na Serikali 25%. Petra Diamonds akamuuzia Rostam Aziz 31½% na akabaki na 31½ na zinazobaki ni za Serikali. Kafurushi hicho, maafisa wa Serikali waliokula rushwa na kupatikana na hatia na wakafungwa walitathmini na kuweka bei ya chini wastani wa TZS 30 bilioni” - Balozi Humphrey Polepole

“Magufuli alikuwa anafuatilia kila kitu kwa hatua. Akaagiza tathmini irudiwe. Waliporudia kufanya tathmini ikaonekana zile almasi zilikuwa na thamani ya US$29 milioni sawa na TZS Bilioni 66. Kafurushi tu. Mwaka 2020 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikaamua almasi zile zitaifishwe. Inawezekanaje mgodi mkubwa wenye akiba kubwa ya almasi Duniani wenye urefu wa kuchimba kwa miaka 100 ijayo, 30% ya mgodi ule iwe TZS 30 Bilioni? Wakati kamfuko kamoja kalipokamatwa thamani yake ni TZS 66 Bilioni? Tafakari, chukua hatua, shtuka, tunauzwa, tumepigwa bei” - balozi Humphrey Polepole.
 
Pumbavu mkubwa hujui hata aliyetufikisha hapa ni nani? Wewe unadhani bila michezo michafu ya magufuli aliyoianzisha mwaka 2016 kusimamisha shughuli za vyama, kuteka na kuua wakosaji, kuiba uchaguzi wote wa 2019 na wa 2020 na kununua wabunge wa upinzani kwani tungefika hapa?

All in all Samia amejitahidi kupunguza mengi sema mijitu haioni na misahaulifu
 
Tatizo mnachanganya ufisadi na utoto wa mjini, rostam ni mtoto wa mjini.

Hv kwa mfano wewe una nyumba ukaniuzia mm hio nyumba kwa laki 1 cash, nani anauwezo wa kuhoji kwa nn umeniuzia laki 1?

Hisa alizouziwa rostam hazikuwa chini ya serikali bali chini ya kampuni, na kampuni ni mtu anaejitegemea kisheria. Na pande 2 zikanegotiate bei na zikafunga dili, sasa wewe wa nje inakuwasha nini? Ni kama vile malaya aniuzie nyapu kwa 20k eti wewe uanze kulalalamika ilibidi aniuzie kwa 1m kisa ana nyapu nzuri yenye joto.

Yaan ni wapuuzi tu ndo watatembea na hii habari wakiongozwa na kichaa mwenzao
 
Tatizo mnachanganya ufisadi na utoto wa mjini, rostam ni mtoto wa mjini.

Hv kwa mfano wewe una nyumba ukaniuzia mm hio nyumba kwa laki 1 cash, nani anauwezo wa kuhoji kwa nn umeniuzia laki 1?

Hisa alizouziwa rostam hazikuwa chini ya serikali bali chini ya kampuni, na kampuni ni mtu anaejitegemea kisheria.

Yaan ni wapuuzi tu ndo watatembea na hii habari wakiongozwa na kichaa mwenzao

Kuwatetea Mtandao inabidi ujitoe akili, uache kutumia kichwa. Utumie Masaburi. Bila hivyo ni ngumu sana. Ukiwa na akili na unajielewa. Huwezi unanyamaza tu basi.
 
Sijatetea mtu hapo, mie nipo upande wa deal la kibiashara sababu mie ni mfanya biashara na najua ninachoongea hapa.

Hakuna cha kushangaza hapo ni kwamba majority ya watanzania ni vilaza na wanachojua ni ratiba ya simba na yanga tu
 
Back
Top Bottom