...huwezi kutenganisha matendo ya mtu dhidi ya watu wengine na hivyo anavyomiliki, rostam alilazimika kuacha siasa kuinusuru ccm na hasira ya wananchi juu ya matendo yake..Petra na Tancoal r not angels wanapoji-associate na mtu mwenye tuhuma za ufisadi wao pia integrity yao iko questioned..Mimi naongelea issue ya Petra na Tancoal biashara ilivyofanyika, wewe unazungumzia Rostam na historia yake.
Suala la historia yake na mambo yake mengine baki nayo mwenyewe maana sina fact yeyote na mpaka sasa zimepita serikali kadhaa hakuna aliyemchukulia hatua, na awamu ya nne ikamfanya partner na kumpa mpaka kiwanda cha ngozi pale Morogoro + plea bargain na mdogo wake Akram kwenye vitalu vyao vya uwindani, sasa kama Serikali inamkumbatia na kumfanya partners mimi nani?
Tujitahidi pia Watanzania kuondoa notation mtu akiwa mfanyabiashara basi ni mwizi ilihali ana baraka zote za mamlaka.
Pale tutakapo prove ni mhalifu ndio tumuite mhalifu.
ndani ya viunga vya Khartoum Sudani.
Mamlaka inaweza kuwa mamlaka ya wahalifu! kupewa sijui kiwanda na vitu gani haiifanyi mamlaka au rostam kuwa halali kwa mambo yake..