Ilitoboka tena sana wakati huyu huyu polepole alivyokuwa madarakni. MpuuzieniKuna namna kama nchi kuna sehem imetoboka
Si huyu Rostam alikuwa rafiki wa Magufuli akamkaribisha hadi Ikulu na kumuachia huru kaka yake kwenye kashfa ya ufisadi.Rostam Aziz kupitia kampuni yake ya Taifa Mining walinunua hisa katika Mgodi wa Mwadui. Mwishoni mwa 2024 na mapema 2025, Kampuni yake ya Pink Diamonds ilinunua hisa toka Petra Diamonds katika Mgodi wa Williamson Diamond Mine (Mwadui) na kuifanya kampuni ya Taifa Mining kumiliki hisa asilimia 75.
Disemba 15, 2021, Petra walitangaza kuingia mkataba wa awali (usiofunga pande zote) na Caspian Limited. Mwaka 2023, Petra Diamond walitangaza kuingia makubaliano kwa nyaraka ya kimkataba (Memorandum of Understanding) na kampuni ya Caspian Limited (kwa sasa Taifa Minining and Civils Limited).
Mauziano hayo yalihusisha kuuzwa kwa asilimia 50 pungufu ya hisa moja ya taasisi iliyokuwa ikihodhi hisa za Petra, kwa takribani Dola za kimarekani milioni 15 (Takribani TZS Bilioni 35.9 za kitanzania).
Sisi hatuhitaji description ya Polepole. Tunataka majibu ya hoja zilizotolewa!Mpuuzieni huyu juha hana lolote. Anabwabwaja wakati awamu iliyopita ndo hao hao walituonea Na kumuua akwilina na kutoa statement za kukera eti risasi ilienda juu halafu ikatua kwa akwilina.
Yani wabongo tunasahau haraka sana. Eti leo hii takataka hii inaitwa shujaa.
Haya Sasa. Mimi yangu macho na masikio.Sisi hatuhitaji description ya Polepole. Tunataka majibu ya hoja zilizotolewa!
Ndi maana wanaua watu hawataki mchezo. Mtu ni Rais with lots of salary and benefits but still anapiga dili na kuiba dah …. Ila Ngozi nyeusi mmhRostam Aziz kupitia kampuni yake ya Taifa Mining walinunua hisa katika Mgodi wa Mwadui. Mwishoni mwa 2024 na mapema 2025, Kampuni yake ya Pink Diamonds ilinunua hisa toka Petra Diamonds katika Mgodi wa Williamson Diamond Mine (Mwadui) na kuifanya kampuni ya Taifa Mining kumiliki hisa asilimia 75.
Disemba 15, 2021, Petra walitangaza kuingia mkataba wa awali (usiofunga pande zote) na Caspian Limited. Mwaka 2023, Petra Diamond walitangaza kuingia makubaliano kwa nyaraka ya kimkataba (Memorandum of Understanding) na kampuni ya Caspian Limited (kwa sasa Taifa Minining and Civils Limited).
Mauziano hayo yalihusisha kuuzwa kwa asilimia 50 pungufu ya hisa moja ya taasisi iliyokuwa ikihodhi hisa za Petra, kwa takribani Dola za kimarekani milioni 15 (Takribani TZS Bilioni 35.9 za kitanzania).
Poapoa tumekusikia. Haya turudi kwenye mada husika.Mpuuzieni huyu juha hana lolote. Anabwabwaja wakati awamu iliyopita ndo hao hao walituonea Na kumuua akwilina na kutoa statement za kukera eti risasi ilienda juu halafu ikatua kwa akwilina.
Yani wabongo tunasahau haraka sana. Eti leo hii takataka hii inaitwa shujaa.
Cheki kaiba mafuta sheli na boda na kutoroka bila kulipa.Poapoa tumekusikia. Haya turudi kwenye mada husika.
Umesoma Mgodi umeuzwq liniSi huyu Rostam alikuwa rafiki wa Magufuli akamkaribisha hadi Ikulu na kumuachia huru kaka yake kwenye kashfa ya ufisadi.
Halafu Leo Hoi polepole kageuka kuwa shujaa.
Bull shit
Michawa muda huu inakoroma subiri iamke😀
we are heading to hellHatuko salama. Huyu mama mbona hivi? Ngorongoro, Tancoal, Petra, Bandari, burgeoning of the national debt, you name it…
Where are we headed?
Mkuu hivi si ni huyo Ndungai alisema Jiwe atake asitake lazima aongezewe miaka ya kitawala. Au nimepoteza kumbukumbu mkuuR.I.P ndugai ulijaribu kutusanua kwamba kuna siku hii nchi itapigwa mnada wahuni wakakuona umetibua wakakulisha sumu masikini ndugai