Humphrey Polepole upepo wa kisasi unakuandama. Chunga sana, Mungu ndio anakulipa hivyo

Muosha uwoshwa

Mbona wakati wao walikuwa hawataki kupingwa

Ajaribu kuheshimu mamlaka

Ova
Kwani serikali ya Mama Samia ina mapungufu mpaka mseme hivyo? Mbona Mama yeye hana shida. Yaani umeme ukatike mnataka watu tuone sawa? Yaani wezi na mafisadi wajitambe na tena wakijisifu kwa kukamilisha misheni ya kumuua Dkt Magufuli mnataka tunyamaze?
 
Mungu ni mwema, hana uhuni wowote.

#kataawahuni
 
Na ndio alichofanya huyo Chakubanga
 
Mbona mlinyamaza wengine wakiuawa na kufanywa vilema?

Wakati Tundu Lisu akipigwa RISASI ulimsikia Polepole au hata wewe ukiongea wenyewe uliongea?

Hii inaitwa Mkuki Kwa nguruwe.

Kuongea ni Haki yako lakini usiwe mbinafsi na mnafiki.

Tunachokizungumzia hapa ni Ubinafsi na unafiki WA wewe na POLEPOLE.
 
Mkuu Lisu alipigwa lisasi na wachonganishi, hata akina ben n.k., serikali isingeweza kufanya hayo yote. Haya hata kama mnafuraha je Mama si ndiye alikuwa msaidizi wa Dkt Magufuli? Yaani unajua ninyi uwezo wenu ni mdogo sana kiakili, yaani vichwani mwenu ni makapi, tulitegemea mjikite kwenye issue lakini akili zenu zilivyo na uelewa mdogo mnaendelea kushambulia watu na kuwaona ndiyo wabaya wenu badala ya kuungana kujadili mambo yanayoleta tija kwa taifa letu
 
Umenena !!
 


Kama alipigwa na wachonganishi Kama Madai yako, serikali ilifanya nini kukamata waliompiga?

Unajua wajibu wa serikali ni pamoja na kulinda wananchi??

Unajua kilichofanyika Kwa Lisu ni jinai na mwenye jukumu la kukabiliana na jinai ni jamhuri?

Tunajikita kwenye ishu inayotuleta pamoja, lakini ubinafsi wa baadhi yenu ndio unawaumiza.

Shida mnamleta uvyama kwenye mambo ya Msingi ndio maana hatuwezi kuendelea.

Tija ya taifa letu ni pamoja na Polepole na wewe muache unafiki.

Wanafiki ndio wanaifanya nchi hii isiendelee.
 
Huo mkuu ndiyo maana mnaonekana kituko. Jaribuni mrudi kwenye issue, achaneni na petty issue ambazo hazina maslahi. We cheki mfano Mbowe na genge lake kwa zaidi ya miaka 5 wanamtukana Dkt Magufuli leo wana kitu gani cha kujivunia?? Yaani kwa kipindi cha JK walijikita kwenye issue na ukiangalia hata Dkt Magufuli ilikuwa rahisi kufanya zile hoja za wapinzani na zikamfanya mpaka leo watu wakimkumbuka wanatoa mchozi kumlilia. Poleni sana, akili zenu Mungu awafungue muone. Watu kama Bulembo na Nape ni laana kwa taifa hili. Ni afadhali na Mzee wetu JK ana akili sana pamoja na kuzungukwa na genge la wezi
 


Hivyo unavyomuona mbowe, Lisu na wengineo wengi ndivyo POLEPOLE na wewe mnavyoonekana kwao.

Kipimo unachompimia mwenzako ndicho unachopimiwa Kwa kukaa kabisa.

Mimi sioni tofauti ya POLEPOLE WA sasa na Wale waliokuwa wanampinga JPM, wote ni wakosoaji
 
Chadema mwacheni pole pole. Tena HUYU ndio anawasaidia kupata katiba mpya niye mnamsema vibaya, tumieni akili kidogo.
 
Awamu ya 5 hakuwa na muda
Aihusika sana kuhakikisha wabunge wetu ambao wamechaguliwa kihalali na kikatiba wananunuliwa na baadaye kurudishwa bungeni kinyemela. huo ndio utaratibu wa haki na demokrasia anautaka Polepole. alionekana kwenye baadhi ya maeneo usiku wa manane na wabunge wa upinzani akila nao deal la kuunga juhudi kinyemela. natumaini hii ndio demokrasia aliyokuwa anataka AU uhuru wa kuzungumza anaoutaka.
 
Mkuu wewe na baadhi ya wenzako msichokielewa ni kuwa nchi hii ilifikia hatua watu wa nje ya tanzania au mataifa wezi wa rasilimali za africa walitaka kuichukua Tanzania yote yaani kuiteka kiuchumi ili kila kitu wafaidi wao, na ktk kufanikisha hilo kuna watu wao hapa Tanzania walikuwa wanafanya nao kazi, na hao watu wanawalipa (ila wewe najua hulipwi kitu). Sasa mkakati wa kuwarejesha ndugu zetu kundini tena kwa hiari yao siyo kosa kabisa. Ila hao watu wa nje walivyo wajanja wakatunga uongo kama ule wa JK alienda kumkomboa Riziwani China kwa sababu ya madawa eti akawapa wachina gas ya mtwara. So kila kitu muwe makini tusiwe kama Congo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…