Mkuu wewe na baadhi ya wenzako msichokielewa ni kuwa nchi hii ilifikia hatua watu wa nje ya tanzania au mataifa wezi wa rasilimali za africa walitaka kuichukua Tanzania yote yaani kuiteka kiuchumi ili kila kitu wafaidi wao, na ktk kufanikisha hilo kuna watu wao hapa Tanzania walikuwa wanafanya nao kazi, na hao watu wanawalipa (ila wewe najua hulipwi kitu). Sasa mkakati wa kuwarejesha ndugu zetu kundini tena kwa hiari yao siyo kosa kabisa. Ila hao watu wa nje walivyo wajanja wakatunga uongo kama ule wa JK alienda kumkomboa Riziwani China kwa sababu ya madawa eti akawapa wachina gas ya mtwara. So kila kitu muwe makini tusiwe kama Congo.