Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Hahahaaaa kwahiyo wewe kuweka id na avatar feki ni jambo la kawaida ila kwa ladies inaondoa kua wife material. Una shida kubwa sana ya akili may you get well soon.
Acha makasiriko au ndo ukweri unauma,,
True nawezekana Nina tatizo la akili
 
Nakazia hoja
 
Lakini uli choose ndugu si bado wapo au nao wamekukimbia? Na Prosper naye ilikuwaje akaondoka? Halafu huyu Prosper ndiyo yule ambaye alikuwa anakuletea zawadi za Chup**** ambazo ukizivaa zinasababisha mpangilio wa mambo yenu unakuwa hauko kwenye mzunguko mzuri???
 
tupo bwana, sema hatujapata
 
Hajawahi kuniletea chupi ni Mzee anaibu ya hivyo vitu.
Hata hajawahi nitoaga dinner sio mpenzi wa kujionyesha huyo .
Tangia lini ndugu hufaa mtu keroo tu ni ngeenda na prosper tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hajawahi kuniletea chupi ni Mzee anaibu ya hivyo vitu.
Hata hajawahi nitoaga dinner sio mpenzi wa kujionyesha huyo .
Tangia lini ndugu hufaa mtu keroo tu ni ngeenda na prosper tu

Pole sana Miss Unique Flower kweli wakati mwingine ndugu au watu wa karibu ni nuksi sana. Yawezekana hakuwa chaguo lako huyo Prosper kuwa na subira Allah atakupatia mwingine tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…