Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Noma sana!
 
Dah!
Hiki ni kitunguu maji
 
Naunga mkono hoja ,humu wamejaa SINGLE MOTHERS KIJANA JICHANGANYE
 
Hawataki kujituma unadhani nani Sasa hata wachoka mtu anaomba hela ya bando , ya Kodi anasema nije nikae kwako ??
As if ndio demu , wao nikuwaangalia wakina Gigi money na kufuatilia madanga ya kikebasi
Ila dizaini kama ulipigwa na kitu kizito hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kwenye jamii Kuna matapeli, majambazi, waongo kupindukia na walozi ndivyo hivyo hivyo na jamii forum.

Wema wapo na wabaya wametapakaa
Kifupi ombeni Mungu
 
Sana aisee mie siwezi I need my man to stand as a man of the house utakuta hata rat kaingia ndani eti ni yeye anaruka ruka ovyoo ndani badala ya kuuwa huyo rat
Upo tayari kufuata vigezo na masharti?
Wazee Jimbo lipo wazi linahitaji mgombea
 
Humu hakuna wanaume serious nikupashe. Tu
Wanaume serious tupo, ongelea percent kadhaa ya wanaume wa humu na siyo wote, as i said uwezekano wa kupata mke humu upo but ni mdogo so that mean huo uwezekano mdogo wa kupata mke kuna wanaume wanaweza kuutumia vizuri na wakapata mke vizuri tu.
 
Upo tayari kufuata vigezo na masharti?
Wazee Jimbo lipo wazi linahitaji mgombea
Hapana siwezi kutafuta humu nipo mtaani nawapekenyua niangalia wa saizi yangu mkuu ndio nzuri maana unamwona , unamsikia unamjaribu , unamlilia ni vyema kushinda mtu yupo Dar wewe Arusha halafu mvua inanyesha siunatakiwa upate Moja baridi Moja moto Sasa wakukupa joto akiwa mbali inakuwaje unachizika .

So humu wengi wapo mambele ni kuchorana tu
 
Wanaume serious tupo, ongelea percent kadhaa ya wanaume wa humu na siyo as i said uwezekano wa kupata mke humu upo but ni mdogo so that mean huo uwezekano mdogo wa kupata mke kuna wanaume wanaweza kuutumia vizuri na wakapata mke vizuri tu.
Upo serious so mtu akiwa serious utatulia eh sema huangaliwi uzuri hapana Kuna njia inaonyesha tu upo serious ila hufai ndugu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…