Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Usidanganyike kutafuta Mwanamke wa kuoa humu JF, kuna Washikaji wengi sana wamedhalilishwa mpaka aibu yaani.
😂😂😂😂
Kuna washikaji washaliwa za kichwa humu aisee wanawake wa Jf hapana
 
Mkuu sio kuliwa za kichwa bali ni kudhalilishwa zile convoy zinavuja balaaa, halafu kuna mpuuzi fulani anani maindi ana demu wake humu Mimi nafuatilia kumbe humu huwa tunazinguana tu ili kuwapa faraja Dada zetu wa JF
 
😂😂😂😂😂
 
Inawezekana Nina pasaka chache na eid chache humu Jf lakini kwa uchunguzi wangu mke Bora hayupo Jf,wanawake wengi wapo Jf kwa ajili ya stress zao za mahusiano au ndoa.

Embu niambie Kuna member gani waliwahi kukutana Jf mpaka wakaoana,na kuwa na familia kabisa.mtakao nijibu mje na ushaidi.

Mwanamke anatumia id fake anaweza kweri kuwa mama Bora wa familia,washazoea kuigiza maisha.

Vijana wa Jf acheni kwenda pm mtapigwa na kitu kizito,humu kila mtu Yuko single,

Kama umeshindwa kupata mke uko mtaani kwenu usijidanganye uje Jf kutafuta mchumba,umeishaaaa
Kijana acha maneno na fikra potofu. miss chagga aliolewa na member wa hapa na wana miaka zaidi ya 6 pamoja.
 
Inawezekana Nina pasaka chache na eid chache humu Jf lakini kwa uchunguzi wangu mke Bora hayupo Jf,wanawake wengi wapo Jf kwa ajili ya stress zao za mahusiano au ndoa.

Embu niambie Kuna member gani waliwahi kukutana Jf mpaka wakaoana,na kuwa na familia kabisa.mtakao nijibu mje na ushaidi.

Mwanamke anatumia id fake anaweza kweri kuwa mama Bora wa familia,washazoea kuigiza maisha.

Vijana wa Jf acheni kwenda pm mtapigwa na kitu kizito,humu kila mtu Yuko single,

Kama umeshindwa kupata mke uko mtaani kwenu usijidanganye uje Jf kutafuta mchumba,umeishaaaa
Wapo wengi tu, chukua Dahan
 
Back
Top Bottom