Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Tunahitaji ushaidi mkuu hizo ni story za kusadidika ata wew nahisi una uhakika wa ndoa iyo je iko salama au ndo mwamba aliko uko anajuta kakosea kuoa
I can swear hapa JF kuna wife Material wengi saaaana. Usisome maandishi yao na kuanza kuhukumu watu. Nakuapia wapo wengi. Nikutajie
 
Lete ushaidi mkuu
 
Humu hakuna wanaume wanaume wengi wanaolewa na wanataka bandoo . Na huku wewe upo serious akuambie mnaanzaje maisha mtaishije mtu afanyaje , yeye anasema toka kwenu ukapange chumba nije nikaishi halafu unadai wadada wabaya mlitaka tuwatunze nope aisee maisha nikusaidiana na Kwa mwanamke anakufanyia mengi , kukupa k hadi uridhike , akupikie , akufulie aweke nyumba safi , na bado akuzalie mbwa nyie , na bado utegemee akulishe akuvishe roho mbaya mnatoa wapi?? Tuacheni tuishi kaeni nahao wanaonekana na bado mbona mmewashindwa basi wakaka mmeshindikana sana wanaume saivi . Mnashida sana badilikeni mmekuwa vipuri hamtaki kucheza sekta yenu ya utafutaji . Hamtaki majukumu
Mbona povu we mdada ongea kwa step sio kama cherehani ya kimboka ®️®️😑
 
Humu hakuna wanaume wanaume wengi wanaolewa na wanataka bandoo . Na huku wewe upo serious akuambie mnaanzaje maisha mtaishije mtu afanyaje , yeye anasema toka kwenu ukapange chumba nije nikaishi halafu unadai wadada wabaya mlitaka tuwatunze nope aisee maisha nikusaidiana na Kwa mwanamke anakufanyia mengi , kukupa k hadi uridhike , akupikie , akufulie aweke nyumba safi , na bado akuzalie mbwa nyie , na bado utegemee akulishe akuvishe roho mbaya mnatoa wapi?? Tuacheni tuishi kaeni nahao wanaonekana na bado mbona mmewashindwa basi wakaka mmeshindikana sana wanaume saivi . Mnashida sana badilikeni mmekuwa vipuri hamtaki kucheza sekta yenu ya utafutaji . Hamtaki majukumu
dah pole sana baby come down naona kama umepigwa kitu kizito kichwani
 
Eh kasema unadhani hii Dunia si imeisha nilishasema sintokuja huku ila nakuja.
Yaani hadi magari ya wanaume asilimia kubwa ni ya wanawake, ofisi , kila kitu , Cha wanawake . Hadi Kodi wanalipiwa an wanawake asilimia kubwa Kwa Sasa
Unatema pumba za kuku wewe sijui unaongea nn

Na umefanya survey % ngapi daaah what a shame
 
Humu hakuna wanaume wanaume wengi wanaolewa na wanataka bandoo . Na huku wewe upo serious akuambie mnaanzaje maisha mtaishije mtu afanyaje , yeye anasema toka kwenu ukapange chumba nije nikaishi halafu unadai wadada wabaya mlitaka tuwatunze nope aisee maisha nikusaidiana na Kwa mwanamke anakufanyia mengi , kukupa k hadi uridhike , akupikie , akufulie aweke nyumba safi , na bado akuzalie mbwa nyie , na bado utegemee akulishe akuvishe roho mbaya mnatoa wapi?? Tuacheni tuishi kaeni nahao wanaonekana na bado mbona mmewashindwa basi wakaka mmeshindikana sana wanaume saivi . Mnashida sana badilikeni mmekuwa vipuri hamtaki kucheza sekta yenu ya utafutaji . Hamtaki majukumu
Duh!! Hii ndio raha ya fake id. Umerusha kombora la masafa marefu a.ka ICBM.
Yote kwa yote pole kwa yaliyokukuta, mtafute huyo jamaa mkae myazungumze.
Nimalizie kwa kusema, UNA HOJA, USIKILIZWE.
 
Wanaume wamezidisha kuchamba na umbea, its not healthy or fun anymore! kila kona thread za kuchamba wanawake wakina dr kumbuka mmezidi bana.
Tatizo la hawa Wavulana wanaotahiriwa hospitalini tena wanapelekwa na mama au dada zao

Hawajapitia jando hawa

Kama wewe ni Mwanamke unayejitambua mpeleke kijana wako JANDO, hata mambo ya uchoko atayachukia
 
Eh kasema unadhani hii Dunia si imeisha nilishasema sintokuja huku ila nakuja.
Yaani hadi magari ya wanaume asilimia kubwa ni ya wanawake, ofisi , kila kitu , Cha wanawake . Hadi Kodi wanalipiwa an wanawake asilimia kubwa Kwa Sasa
Hao wanawake (wenye miaka 18-35) wanaolipia wanaume kodi wako wapi? Hawahawa wadada ambao ukiwaomba namba leo, kesho anakwambia mjomba wake kameza shoka, anaomba tshs elfu kumi?

Hizo ni exeption ndogo sana my sister, statistically ni percent ndogo sana ya wanaume ndio wanakula pesa nyingi ya wapenzi wao wa kike Unique Flower
 
Tatizo la hawa Wavulana wanaotahiriwa hospitalini tena wanapelekwa na mama au dada zao

Hawajapitia jando hawa

Kama wewe ni Mwanamke unayejitambua mpeleke kijana wako JANDO, hata mambo ya uchoko atayachukia
Sahihi Mkuu 🤝
 
Back
Top Bottom