Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Mie akuuuHao wanawake (wenye miaka 18-35) wanaolipia wanaume kodi wako wapi? Hawahawa wadada ambao ukiwaomba namba leo, kesho anakwambia mjomba wake kameza shoka, anaomba tshs elfu kumi?? Hizo ni exeption ndogo sana my sister, statistically ni percent ndogo sana ya wanaume ndio wanakula pesa nyingi ya wapenzi wao wa kike Unique Flower