Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Humu ndani jf kumejaa matapeli na waongo wakubwa ...

Watu humu ni kubadilisha ID wasitambulike ...

Watu wanabadili Hadi jinsia hawaeleweki ...mwanamke anajifanya mwanume na mwanaume anajifanya mwanamke ,wanaanzisha nyuzi kutafuta ushauri [emoji23][emoji23]...Mpaka watu wanafufua makaburi kuwaumbua ...

Utapeli ,uongo na ujuaji umejaa humu jf ,...

Humu watu wanaogopa hata kukutana Kwa sababu ya kuandika nyuzi za uongo na kujifanga maboss ,wanamagari ,wananyumba na maisha mazuri [emoji23][emoji23][emoji23]...kutana nao Sasa choka mbaya hatari ....

Humu ndani ni sawa na kijiweni tu ...

Wanawake wa humu wengi ni single Maza walioshindikana kwenye ndoa na kujipa Moyo kuwa "single and happy " ..
 
Nimefuatilia comments , mtoa mada Yuko sahii. Hakuna mwanamke aliekuja na kusema ameolewa na anaishi na mmewe vizuri. Wote waishia kusema wanawake was JF ndo walio mtaani, au men wa siku hizi hawawajibiki. Maneno kama hayo ni proof kwamba either bado hawajaolewa au wameachika and hence , mleta mada Yuko sahii JF in shortage or abscent of wife material .

Wife material wote wameshaolewa au wako kwenye process ya kuolewa. Maana wao ni wa thamani kama lulu.
Japo chungu,

mzabzab
 
Humu ndani jf kumejaa matapeli na waongo wakubwa ...

Watu humu ni kubadilisha ID wasitambulike ...

Watu wanabadili Hadi jinsia hawaeleweki ...mwanamke anajifanya mwanume na mwanaume anajifanya mwanamke ,wanaanzisha nyuzi kutafuta ushauri [emoji23][emoji23]...Mpaka watu wanafufua makaburi kuwaumbua ...

Utapeli ,uongo na ujuaji umejaa humu jf ,...

Humu watu wanaogopa hata kukutana Kwa sababu ya kuandika nyuzi za uongo na kujifanga maboss ,wanamagari ,wananyumba na maisha mazuri [emoji23][emoji23][emoji23]...kutana nao Sasa choka mbaya hatari ....

Humu ndani ni sawa na kijiweni tu ...

Wanawake wa humu wengi ni single Maza walioshindikana kwenye ndoa na kujipa Moyo kuwa "single and happy " ..
Msituseme jamani khaaa.
 
Ukweri ndo huo mkuu humu wamejaa matapeli tu
 
Noma sana!
Dogo walioko ktk hili jukwaa ni watu halisi siyo feki, tena wengine watu wakubwa sana. Hebu tuambie ID ya rais wetu ni ipi maana yumo humu. Kwa hiyo rais wetu ni mtu feki? Rais ni raia namba moja wa nchi na ndio taswira nzima ya nchi. ID siyo feki ila ndiyo sera ya JF ambayo ni 'anonymity' na ndio imetusaidia sana. Hivi kweli utoe taarifa nyeti kaa ID halisi? Tuwe serious! Wanawake waliomo humu ni wanawake halisi wenye genuine issues, ila tu ktk msafara wa mamba na kenge wamo
 
Humu ndani jf kumejaa matapeli na waongo wakubwa ...

Watu humu ni kubadilisha ID wasitambulike ...

Watu wanabadili Hadi jinsia hawaeleweki ...mwanamke anajifanya mwanume na mwanaume anajifanya mwanamke ,wanaanzisha nyuzi kutafuta ushauri [emoji23][emoji23]...Mpaka watu wanafufua makaburi kuwaumbua ...

Utapeli ,uongo na ujuaji umejaa humu jf ,...

Humu watu wanaogopa hata kukutana Kwa sababu ya kuandika nyuzi za uongo na kujifanga maboss ,wanamagari ,wananyumba na maisha mazuri [emoji23][emoji23][emoji23]...kutana nao Sasa choka mbaya hatari ....

Humu ndani ni sawa na kijiweni tu ...

Wanawake wa humu wengi ni single Maza walioshindikana kwenye ndoa na kujipa Moyo kuwa "single and happy " ..
Matapeli tupo hapa tunasoma comment 😀
 
Mie mnanichekesha tu the way mnavoconlude mawazo yenu kama mnalolisema nyie ndio lenyewe na halina kupingwa hapo tu ndio nacheeeeeeekaaaa!!
 
Inawezekana Nina pasaka chache na eid chache humu JF lakini kwa uchunguzi wangu mke bora hayupo JF, wanawake wengi wapo JF kwa ajili ya stress zao za mahusiano au ndoa.

Embu niambie Kuna member gani waliwahi kukutana JF mpaka wakaoana, na kuwa na familia kabisa, mtakaonijibu mje na ushaidi.

Mwanamke anatumia ID fake anaweza kweli kuwa mama Bora wa familia, washazoea kuigiza maisha. Vijana wa JF acheni kwenda PM mtapigwa na kitu kizito, humu kila mtu yuko single.

Kama umeshindwa kupata mke uko mtaani kwenu usijidanganye uje JF kutafuta mchumba, umeishaaaa.
Huku wapo wa kuoshea rungu tu ila pia uwe mwangalifu, wengine wana stress za ule ugonjwa wanataga wa kuingana nao...
 
Wanaume wamezidisha kuchamba na umbea, its not healthy or fun anymore! kila kona thread za kuchamba wanawake wakina dr kumbuka mmezidi bana.
Yaani kuambiwa huku hamna wife material wewe unaota huku ni kuchamba??? Huu ni ukweli unaouma...
 
Maisha ya humu msichukulie siriaz kihivo wakuu nachoamini kila mmoja ana Maisha yake tofauti kabisa na ya jf so relaaaaaxxxxxx !!✌️✌️✌️✌️✌️
 
Back
Top Bottom