Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Kama ni hivyo basi na sisi wanaume tunaotumia id fake humu sio hazibandi matirio,,,###MbwaKalaMbwa###tuendelee kuchombezana tuu,,,dunia sio yetu hii
 
Dogo walioko ktk hili jukwaa ni watu halisi siyo feki, tena wengine watu wakubwa sana. Hebu tuambie ID ya rais wetu ni ipi maana yumo humu. Kwa hiyo rais wetu ni mtu feki? Rais ni raia namba moja wa nchi na ndio taswira nzima ya nchi. ID siyo feki ila ndiyo sera ya JF ambayo ni 'anonymity' na ndio imetusaidia sana. Hivi kweli utoe taarifa nyeti kaa ID halisi? Tuwe serious! Wanawake waliomo humu ni wanawake halisi wenye genuine issues, ila tu ktk msafara wa mamba na kenge wamo
Kwa ufupi: una uhakika gan mh raisi ana ID humu,
 
Kila mmoja apambane na hao wanawake wake anaokutana huko nao bana msigeneralize mazee!! Humu wife material mbona wapo Wengi tu

Vichomi wachache ndio tunaharibu taswira!
 
JF ni mtandao wa kijamii kama mitandao mingine tu,Mwanamke anapatikana KOKOTE tu,tena afadhali mwanamke wa JF humu utakutana nae atakuwa kajifunza mengi kupitia jukwaa letu pendwa la MMU,Mimi nikimpata mwanamke wa Kutoka humu,basi naimani Kubwa atakuwa na Tabia nzuri na atatulia kwenye mahusiano,kwani atakuwa kaona mengi kupitia nyuzi za wadau na hata kushinda tu humu ni kwamba Anajitambua na ameamua kuwa GT,kuliko kukaa Instagram au TikTok na kupost post akiwa nusu uchi...
Binafsi nawaheshimu Wanawake wote wanaotumia JF.Wife material wapo wengi tu Humu.
 
Wanaume siku hizi mnalia lia sana. Mmekuwa wadhaifu sana mnalalamika kama watoto wa kambo yaani.
Ila ukweri ndo huo Jf hakuna wife material wengi mpo hapa kwa stress zenu za mahusiano na maisha
 
Mie wananichekesha tu Wanavosisitiza kama wanatujua wanawake wote humu khakhakhaaaa!!!
Wamekutwa na mabalaa gani Kwani Mpaka wanatema nyongo kwa hasira hivi!!
😂😂Yani wanafurahisha sana wamekiwa wadhaifu mno na ndo maana wanakutana na matapeli wanakuja kulia Lia
wakibadilisha mindset zao na ndivyo mambo yatabadilika
 
Back
Top Bottom