Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Nakupingaa mkuu wife material wapooooooo!!! Wewe unatakiwa kupambana nahao ulokutana nao Mbona watu kibao wameoana na wengine wana mahusiano yenye afya teleee humu !!
Lete ushahidi hao walioa na kuolewa humu kupitia humu jf wanakuja kuleta mrejesho kwenye I'd nyingine jinsi wanavyoteswa na ndoa zao
Unajua kampeni KATAA ndoa imekujaje jf si wameileta haohao
 
Eh kasema unadhani hii Dunia si imeisha nilishasema sintokuja huku ila nakuja.
Yaani hadi magari ya wanaume asilimia kubwa ni ya wanawake, ofisi , kila kitu , Cha wanawake . Hadi Kodi wanalipiwa an wanawake asilimia kubwa Kwa Sasa
Tatizo wanawake mko wengi kuliko wanaume. Kuna wanawake lazima uwatengeneze matukio ili wakuache.
Kwani mwanamke akimnunulia jamaa yake ni tatizo?
Maisha ni kusaidiana.
 
Lete ushahidi hao walioa na kuolewa humu kupitia humu jf wanakuja kuleta mrejesho kwenye I'd nyingine jinsi wanavyoteswa na ndoa zao
Unajua kampeni KATAA ndoa imekujaje jf si wameileta haohao
Wewe mwenyewe umeongea bila uthibitisho pambana nahao matapeli uliokutana nao mkuu no way!
 
Halafu mbona wewe unatumia picha ya idi amini kwahiyo wewe sio baba bora wala mume bora[emoji57] so Ladies wakae mbali na wewe.
Me ni husband material Safi tu na baba Bora Ila siwezi nikaoa mwanamke wa humu jf.Over
Idi amini is my favorite leader in this world
 
KUMBUKA

Wanawake waliopo jf hawaishi huku jf ila wanaishi mtaani kwetu huko huko unakozungumzia.

Jf kunawanawake wazuri na wastaarabu sana na wanafaa kuwa wake za watu.

Mkuu weakness nyingine ni za kibinadamu kama, si wanawake wote wa sinza, manzese na bugurun ni makahaba. Hawa ni baadhi ya wanawake jf ambao binafsi nasema mashallah Dahan bint wa morning glory. Bantu Lady mama wa watu asiye na makuu na mtu asiye na ubaya na mtu hata siku moja, Sky Eclat dada yangu kipenzi wala hana kuu, hana nongwa na gubu na mtu, mikono yake haijui kuandika UPUMBAVU, kinywa chake hakina maneno ya magambo, mshauri maridhawa.

Hao n baadhi tu kati ya wengi mkuu. Mapungufu mengine ni ya kibinadamu ambayo sote hatuyakosi.

Jf ni sehemu inatuunganisha tu ila sote tupo mtaani na tunamaisha yetu halisi
 
Back
Top Bottom