Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

JF ni mtandao wa kijamii kama mitandao mingine tu,Mwanamke anapatikana KOKOTE tu,tena afadhali mwanamke wa JF humu utakutana nae atakuwa kajifunza mengi kupitia jukwaa letu pendwa la MMU,Mimi nikimpata mwanamke wa Kutoka humu,basi naimani Kubwa atakuwa na Tabia nzuri na atatulia kwenye mahusiano,kwani atakuwa kaona mengi kupitia nyuzi za wadau na hata kushinda tu humu ni kwamba Anajitambua na ameamua kuwa GT,kuliko kukaa Instagram au TikTok na kupost post akiwa nusu uchi...
Binafsi nawaheshimu Wanawake wote wanaotumia JF.Wife material wapo wengi tu Humu.
Nakataa huo ni uongo
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Yani wanafurahisha sana wamekiwa wadhaifu mno na ndo maana wanakutana na matapeli wanakuja kulia Lia
wakibadilisha mindset zao na ndivyo mambo yatabadilika
Khakhakhaaaa.....
Nakaziaaaaaaaaaaaaa!
Mtoa mada lazima alikutwa na jambo pole yake!! Kuna wameoana Humu wengine wana mahusiano yenye afya tereeeeeeeeeeeeeee๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒโœŒ๏ธโœŒ๏ธโœŒ๏ธโœŒ๏ธโœŒ๏ธ!!
Pole yake
 
Hakuna mtaa,Kijiji au nyumba inaitwa jamii forum.

Jamii forum ni wewe, wanao, mkeo, wazazi wako, wafanyakazi wenzako mliosoma pamoja, mnaosali pamoja Kila mmoja anatumia ID na jina feki hivyo usijidanganye kuwa unamtokea demu ya jf kumbe unamtokea mwanao
 
Back
Top Bottom