Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

hilo lipo ndani ya uwezo wangu nina moyo mie
ntakuficha mahabani mpaka mama mkwe aseme nilipe mahari mara ya pili
falling for you baby
Mtoa mada unaona mume wangu anavyofurahia mahusiano yetu? Unaona kijana wa mama mkwe hadi anatamani kunilipia mahari tena.

Halafu wewe unasema nini?? Mungu akusaidie na wewe upate wako uache kulia lia.
 
Kama ilivyo mtaani tu ndivyo hata jf ni ngumu.ila huku ni kwamba tunapata single maza wengi na wadada angalau wenye exposure japo ujiandae kimbinu.

Tudada twa jf tunashinda humu na kupata madini,sasa ukiwa nae lazima utumie mbinu za medali kuanzia kukwepa mizinga na kula mbususu at low cost.mana utasikia singii lodge wala kwako siwezi kuja may be hotel.

Ukijimix ukaenda hotel,kesho yake asubui sana lazima ufungue uzi kulaumu wadada wa JF .

NB: wanaume usijaribu kumfurahisha mwanamke,hasa kwenye mambo ya hela utawalaumu sana

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada unaona mume wangu anavyofurahia mahusiano yetu? Unaona kijana wa mama mkwe hadi anatamani kunilipia mahari tena.

Halafu wewe unasema nini?? Mungu akusaidie na wewe upate wako uache kulia lia.
Npo nimekaa palee 👉
Mlete mrejesho sio muda ntakuwa team kataa ndoa..
 
Back
Top Bottom