Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Ni sayari ya mbali Sana watu wa Jf Wana sura mbili ya jf na ya mazingira ya kawaida,usimuamin mtu yeyote humu jf hasa wanawake wa humu,umeishaa


Mkuu unajaza jf seva bureee shusha vituu unawaharibia wenye watu wao wa maana humu ujue!!
Wee kaa na vitu moyoni tu wanaume mnawahi kufa kwa kuweka vitu moyoni mjue😊!
 
Kamwe mwanaume atafuti mahusiano , mwanaume anatafuta ni namna gani anapigania ndoto zake , ukiona katafuta mahusiano jua ni kwasababu hayo mahusiano yatasababisha kutimiza ndoto zake, hata huku jf ukipata mwanamke atakae kusaidia kutimiza ndoto zako ni sahihi kabsa kuhusiana nae , mwanaume yoyote anae tafuta mahusiano kwa sababu ana penda mahusiano kuliko ndoto zake, anakiuka asili yake na mwisho wa siku lazima hayo mahusiano ya muumize na ata kumuumiza anae husiana nae pia.
 
Mkuu unajaza jf seva bureee shusha vituu unawaharibia wenye watu wao wa maana humu ujue!!
Wee kaa na vitu moyoni tu wanaume mnawahi kufa kwa kuweka vitu moyoni mjue[emoji4]!
Alimiss kuchart na warembo wa jf,,,


Mpeni company apoteze muda then ajongee kwa shemeji yake akale msosi wa mchana.
 
Mtoa mada unaona mume wangu anavyofurahia mahusiano yetu? Unaona kijana wa mama mkwe hadi anatamani kunilipia mahari tena.

Halafu wewe unasema nini?? Mungu akusaidie na wewe upate wako uache kulia lia.
Akikutana na bint toka kwa BWANA kama Dahan hata hivyo vidole havitaweza andika ujinga. Ndugu yangu Half american Mr kenice @mwachiluwi Intelligent businessman Kanali G wanakumbushwa hadi kusali asubuhi zaid ya hapo unataka nn tena mkuu
 
Back
Top Bottom