Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Warembo??? Mrembo ana I'd fake mkuu
Nasubiri iftar ya shemeji jioni,kuwa na dada Raha afu awe pisi Kali shemeji ana kauli😂😂👆
Id fake ni kwaajili ya privacy tu, kwahiyo wenye uhalali wa kumiliki ID fake ni sisi wanaume na sio KE?
 
Kila mtu ana sababu za kuwepo hapa, sio kila mtu kaletwa hapa na mapenzi, **** watu wapo siasani huko hawajawahi kutoa mchango wowote mmu, sijui kwa nini ufikiri kila mwanamke yupo hapa kwa stress zake.
Wanasiasa?? Nani alikwambia Wana siasan hao hawataki mapenzi na mmu wanaudhuria Sana mpaka pm uko washaenda sana
 
Wanasiasa?? Nani alikwambia Wana siasan hao hawataki mapenzi na mmu wanaudhuria Sana mpaka pm uko washaenda sana
Sasa wao kwenda pm wewe kinakuuma nini mkuu? Kila mtu ana sababu zake kuwepo humu, hata majambazi yanaweza kuwepo humu coz hii ni jamii kama huko mtaani, au hujasikia watu kutapeliwa humu?

Acha watu waishi mkuu!!
 
Back
Top Bottom