Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Umejiunga JF juzi
Kila kukicha una thread mpya
Unatafuta umaarufu huna lolote
It’s pathetic!
Darlin nilikuwa naisubir comment yako🙌😁
Nina pasaka chache na eid chache humu jf kifupi Mimi ni mshamba wa Jf.

Umaarufu wanatafutaje humu jf hebu nielekeze Kwanza siunajua me mgeni humu labda navunja Sheria za Wana jf
 
KUMBUKA

Wanawake waliopo jf hawaishi huku jf ila wanaishi mtaani kwetu huko huko unakozungumzia.

Jf kunawanawake wazuri na wastaarabu sana na wanafaa kuwa wake za watu.

Mkuu weakness nyingine ni za kibinadamu kama, si wanawake wote wa sinza, manzese na bugurun ni makahaba. Hawa ni baadhi ya wanawake jf ambao binafsi nasema mashallah Dahan bint wa morning glory. Bantu Lady mama wa watu asiye na makuu na mtu asiye na ubaya na mtu hata siku moja, Sky Eclat dada yangu kipenzi wala hana kuu, hana nongwa na gubu na mtu, mikono yake haijui kuandika UPUMBAVU, kinywa chake hakina maneno ya magambo, mshauri maridhawa.

Hao n baadhi tu kati ya wengi mkuu. Mapungufu mengine ni ya kibinadamu ambayo sote hatuyakosi.

Jf ni sehemu inatuunganisha tu ila sote tupo mtaani na tunamaisha yetu halisi
Wow Uchira 1 kaka yangu asante sana. Ubarikiwe na busara zako.
 
Kisa huyu mwanaume uliyekutana nye wewe ndo hajitumi basi una conclude wote...don't take things too personal my dear.
Wewe unajituma walahi I wish I wish nipate wakufanana naye ila sio huku ni nje ya jf mapenzi mazuri ni kuwa karibu na umpendaye umlee akulee sijui kama Kuna muafrica mwanaume anaelewa kupendwa na kulelewa sijui kama anaelewa kabisa maana hiyoo
 
Jf ni kama familia japo haujuani na mtu ila kwa michango ya watu tu ni rahis sna kumjua mtu,wanawake wa huku watakuwa wake bora sana kwa sababu wanajua tusichokipenda kwa undani kupitia nyuzi za hapa , mimi ni kataa ndoa kwa sababu ya huu ujinga wa haki sawa ,mwisho wa siku ukapata mtu apa atajua kabsa anatakiwa aepuke hyo kitu haki sawa [emoji23]
 
Darlin nilikuwa naisubir comment yako[emoji119][emoji16]
Nina pasaka chache na eid chache humu jf kifupi Mimi ni mshamba wa Jf.

Umaarufu wanatafutaje humu jf hebu nielekeze Kwanza siunajua me mgeni humu labda navunja Sheria za Wana jf

Hakuna alie mkamilifu
Unavyojinasibu ya kua humu ndani wanawake ni matapeli ipo siku utapatwa na tatizo na atakae kusaidia ni mwanamke wa JF
Have some masculine nature in you bro!
 
Ni kweli wife material hawapo wengi ila usimchukulie poa babe wangu Darlin

Pia wanawake hawa ninaowafahamu angalau kidogo usiwachukulie poa binti kiziwi Dr Lizzy Saint Anne Joanah Depal Khantwe na niliowasahau

JF huifahamu yote na huwezi kuifahamu yote maisha yako yote so usipende ku conclude mambo
Mnahangaika kumpa proof mtu aliye desperate na maisha yake huko halafu anakuja jf kusimanga watu[emoji1787]

Mwanaume kamili anayejitambua huwezi kuta yupo kulialia humu jf.
 
Hakuna alie mkamilifu
Unavyojinasibu ya kua humu ndani wanawake ni matapeli ipo siku utapatwa na tatizo na atakae kusaidia ni mwanamke wa JF
Have some masculine nature in you bro!
Kutokuwa wife material sio kilema unaweza kubadirika.

Wanawake wa Jf mnisamehe nawapenda Sana Ila wale matapeli mjirekebishe.ova

@Darlin🙏🙌
 
Kutokuwa wife material sio kilema unaweza kubadirika.

Wanawake wa Jf mnisamehe nawapenda Sana Ila wale matapeli mjirekebishe.ova

@Darlin🙏🙌
Pandisha uzi ukielezea walichokufanyia ili tuelewe zaidi bro.

Punguza kuzunguka sana bro unafanya watu wasikuelewe ilihali unaweza kuwa na nia njema ila kuzunguka sana kukafanya usieleweke na kuonekana wa HOVYO na sisi wanaume wenzako na hata hawa dada zetu.

Mbona ndugu yangu Liverpool VPN alianzisha uzi akafunguka na watu wote tukamwelewaaa?
 
Back
Top Bottom