Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

Ndiyo maana Mimi ili kuonesha ukongwe wangu basi yeyote atayenilenga kwa manati Mimi humrushia kombora zito la kibalistiki.

Heshima inakuja yenyewe.
 
Afadhali umeliona hili
 
Huwa nafurahi nikitaniwa na wajukuu zangu humu. Ili kujifanya mtoto mwenzao mwaka 2024 nikasema ngoja nifungue πŸ†” nyingine ambayo ndiyo hii.

Sipendelei mtu kuniogopa kutokana na hadhi yangu, kujishusha huwa ni jadi yangu pindi nikutanapo na walio chini.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hakika mkuu si vema kumuignore mtu kisa new member
New members miyeyusho sana .

Sisi enzi zetu kabla ya kujiunga tunakaka bechi hata miaka mi 3 tunaisoma Jf jinsi ilivyo na mijadala kabla ya KuJoin , sasa hivi mtu akipata simu ya mikopo na kuijua Jf Leo kesho tayari ana akaun5na yeye pia Mchambuzi wa Jf πŸ˜‚
 
Yani dogo kwa hili umeshinda. ID yangu ya Maghayo niliipenda sana. Uumbwaz weewee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…