Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Sawa, haya niko tayari kwa ugomvi sasa.Ndio, ile ilipigwa ban ndo akafungua Hii ya sasa
Hizo tetesi ndo Naskia kwako leo.Sawa, haya niko tayari kwa ugomvi sasa.
Kwanza kwanini wewe unaongoza kwa kuandika utumbo humu na hupigwi ban?
Au zile tetesi ni za kweli kwamba wewe ni Mod?
πππHizo tetesi ndo Naskia kwako leo.
Hakuna utumbo niliowah kuandika humu, hata Mello anajua hilo.
Kama kuna utumbo niliwah andika em Nionyeshe
Ila inaonyesha ulikuwa unafurahia mikito ya jamaa mpaka ukaegemea jiwe jeusi ili usianguke, uendelee kufurahia kitombo π
Sasa huo ndo utumbo?πππ
Ulichoandika hapa ni unafiki, kwamba hujui watu wanahusiana humu, huu ndio unafiki wenyewe!!Pamoja na watu kuwa na fake ID kumbe watu wanazagamuana humu
Mimi sifanyi hiyo dhambiπSasa huo ndo utumbo?
Kwamba mtu kufurahia kukunwa vzr na mume wake n utumbo?
Kwan ww hufurahii sex na mtu wako?
π
Kumbe wale watoto uliwapata kwa njia ya wireless, safi sana mwenetuMimi sifanyi hiyo dhambiπ
Watoto wa wapiπKumbe wale watoto uliwapata kwa njia ya wireless, safi sana mwenetu
Waliotoka mwilini mwako πWatoto wa wapiπ
Umeshamwendea PM?Mbona mimi na binti kiziwi tunasema kila siku tuzichape ila katika uwanda wa pm hakuna jambo?
Ewe binti kiziwi ndege kasha halalisha ni vyema sasa uje ukanda huu wa pm yangu tuweze kufanya mipango ya kuzichapaUmeshamwendea PM?
Nakazia mkuu.Ewe binti kiziwi ndege kasha halalisha ni vyema sasa uje ukanda huu wa pm yangu tuweze kufanya mipango ya kuzichapa
Kumbe una watoto na husemi πWatoto wa wapiπ
Kumbe ndo anawadanganya huko kwamba Hana watoto πKumbe una watoto na husemi π
Au na mimi nivujishe siri zako humu tugombane mzee mwenzangu halafu tukapatanie vichochoroni privately πUlichoandika hapa ni unafiki, kwamba hujui watu wanahusiana humu, huu ndio unafiki wenyewe!!
Yani nianze kutafuta utumbo wako humu ili nichefukwe, hebu nipishe huko!Hizo tetesi ndo Naskia kwako leo.
Hakuna utumbo niliowah kuandika humu, hata Mello anajua hilo.
Kama kuna utumbo niliwah andika em Nionyeshe
Duuuuh, huu ndiyo ule utumbo wa huyu mpare au Seran ni kweli kizazi chako kimetumika kuliko mie kibibi cha JF π€£π€£π€£π€£Kumbe ndo anawadanganya huko kwamba Hana watoto π
Ana watoto 3+
I love vayolensi, nafumua paliporaruka, sivumilii uongo π
Hakuna cha kuchafukwa, hakuna utumbo niliowah kuandika