Humu JF nimegundua kitu, wagombanao Jukwaani ndio wapendanao kule PM

Hakuna cha kuchafukwa, hakuna utumbo niliowah kuandika
Garbage in, garbage out kila siku, ni vile tunakuvumilia tu kijana wa hovyo!


Kuongea ukweli ndo utumbo?
Bc ww huna tofauti na watawala wa kiafrika wakiambiwa ukweli wanakasirika, wanateka na kuua
Mxiiieeew, na akija Seran akasema ni uongo, tunakuchangia humu mpaka uzidi kudidimia kwenda chini 🤣
 
Kikao kijacho ulizia vzr taarifa zangu sawa😅

Yani hata mwezi haujakata mshazusha mapyaa🤭

Vayolensi nimekuachieni wewe na machokoraa wenzio🤣
Kwakuwa una mitego yako, ngoja niwe mpole ili upate chcht kitu 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…