Mwamba umeongea neno kubwa Sana kupitia neno lako nami nikejifunza nikibahatika kuwa na mwanangu especially wa kike ni mlee kwenye malezi mazuri ili nisije kupata aibu mbeleniTuwalee mabinti zetu kwenye maadili.
Huyu dada amekosa malezi.
Wadada-pesa itawapa kila kitu ila sio upendo