Mwamba umeongea neno kubwa Sana kupitia neno lako nami nikejifunza nikibahatika kuwa na mwanangu especially wa kike ni mlee kwenye malezi mazuri ili nisije kupata aibu mbeleniTuwalee mabinti zetu kwenye maadili.
Huyu dada amekosa malezi.
Wadada-pesa itawapa kila kitu ila sio upendo
Hahahaaa. Lol.Hata wewe mshabiki wa Yanga?
HuendaJinsia ya Adam huyo
Samahan Mkuu ni Wew nin mbona povu juuHuyu duu anashida sana in reality ni mbaya alaf kakondeana ila kila siku kutunanga huku JF she's so insecure na ana wivu wa kijinga jinga! Huko Instagram ana followers 40k ila chakushangaza akipost picha anapata likes 10 au 15 mataqo umbw@ wewe!
WeweeeMkuuu vip yamekukutaa nini
Pole mkuu kwa yaliokukuta
Achana na wanaume wa Dar njoo huku mkoani mkuu hutopitia tena yaliyokukuta mkuu
Amechanganya mafile amepanic hadi anatia hurumaSamahan Mkuu ni Wew nin mbona povu juu
We ushindwe kabisa!! Nihonge Milioni wakati nikipoteza 10,000 tu mapigo ya moyo huwa siyaelewi! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Nawe unafuataga nini kwenye nyuzi za hivi[emoji23]
Halafu Dom wamejaa kibao,hadi kwa buku 5, nakuletea kitu ipo full,
Halafu hiyo milion unipe chawa wako hapa,maana sikuelewi ujue
Sent using Jamii Forums mobile app
True man!Stress zinakutafuna
Weweee itakuwa ndoto weka post malaya watajitokeza ml1 ukitoa hata shetani atashtuka1. Lini ulijaribu kunipa nikashindwa?
2. Mimi huyo?
3. Labda kama ni wewe una njaa sawa
4. Nani analia njaa kila saa?
Njoo Dom ukalie ukuni kuna 1M nitakupatia! Leo hii kama vipi, bado hujachelewa!!
Hongera umepewa hela??Shida ni haya mambo ya kuchange ID, kumbe mtoa mada ni yule member alokuwa akijiita KATOTO/b] wa Arusha!! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Okay no problem what your seeing in me you are not my GodWhat you said says a lot about you than other people you are complaining to.
Stress zinakusumbua, tafuta tiba kabla halijawa tatizo kubwa!Weweee itakuwa ndoto weka post malaya watajitokeza ml1 nani atake maisha haya
Ndio MkuuuWeweee
Tatizo umeshajisahau kuwa uliwahi kunipigia video call eti unione, kwahiyo unafikiri nimekusahau! Stress zinakusumbua!Hongera umepewa hela??
Yakusema ??
Good na badoo ngoja nikupe short brief about me naitwa bety naishi Arusha nilizaliwa arusha mzee wangu akampa mzee mkubwa nikaenda kusoma Tanga .QUOTE="lovel, post: 42427436, member: 655266"]
Hlf demu amekaa mswahili swahilii ukichek response yake...mmh nawapa wanaume pole..ukikutana na dem wa hvi..lzm ukonde
Seems ana mdomo mchafu sana