Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
-
- #221
Video call sinaga simu mie so acha uongooo choo weweTatizo umeshajisahau kuwa uliwahi kunipigia video call eti unione, kwahiyo unafikiri nimekusahau! Stress zinakusumbua!
Binti una Stress......tatizo mademu wa JF wengi hamna mvuto kama mnavyotuaminisha kwenye kuchat ndiyo maana jamaa amakugegeda mara chache na ameingia mitini sababu ameona hailipi......hata mimi nilishawakimbia mademu wa humu wengi tu enzi za ujana wangu ,sababu kwenye simu sauti nyororo, kwenye kuchat maneno matamu na picha za kufilter.... lakini mkitokea live mpo hovyo kabisaGood na badoo ngoja nikupe short brief about me naitwa bety naishi Arusha nilizaliwa arusha mzee wangu akampa mzee mkubwa nikaenda kusoma Tanga .
Nikaishi Tanga so nilipopata kazi Dar nikaenda Dar miezi 6 nikapelekwa Mwanza nikakaa mwaka mzima.
Walipojielewa nini wanafanya nikarudi Dar baada ya mwezi nikarudi huku nikaendelea na kazii.
Hadi sasa so kwa mdomo mchafuu huu ni mzuri sana.
Kwa watu kama nyie.
Ni kama kule Twitter, wengi wauzajiSijawai kujua kama jf kuna wauza uchi. Ila sasa napata wasiwasi
Sijui unaitwa lovely??Huyu bangiiiii... ht usipoteze muda
Bitch plz....kwanza nahis umri nimekupita sana...Sijui unaitwa lovely??
Mara unaongea maneno yakinafki oh pole ni dunia kama jamii forum ni ya watu matawi baadae unasema oh huyu dada sijui yupo hivi au yupo vile.
Ngoja nikuambie jamboo zuri tu .
Jamii forum ni sehemu ya kupoteza dira kama kwa wasichana humu watu maskini mpaka basiii .
Ila kwa sababu saivi wanakudanganya na hela ya vocha basiii.
Unaanza kuwatetea .
Humu hakuna dili mwaya . Eti navuta bangii nafuu wewe wanakununulia heineken na john walker na godons na unavinywa walahi mtu wa humu akikupa hata soda unaandika siku.
Andika list beach niwewe ambaye nimnafiki unasema wanawake wenzako nakuwaponda unionekane wamaana humu kusocialize ndio nini ,??Bitch plz....kwanza nahis umri nimekupita sana...
Hlf humu jf hatujajiunga juzi km wewe kuja kutafuta mandaga km wewe unavyopost post .wenzio tupo humu ku socialize ndio maana wala hatuhitaj tujulikane....
..unatafuta mume Jf....si ufala huo...manake mtaan kote washakushindwaa
Endele a kutumika[emoji1787]
Ulikuja Jf na higher expectation WAMEKUKULAAAA
BUREEE TENAAA
Waingeze pia kuwa unaweza kuwa umejenga ila ukaamua kupanga.Aliyewalisha hii dhana kuwa kila Mtanzania lazima awe na nyumba ni nani?? Kwangu mie kujenga ni woga wa maisha, si lazima kila mtu ajenge!! Matokeo yake watu wanaishi maisha yao yote wakijenga, ujenzi si project ndogo!!!
Maisha ya appartment matamu sana, nabadilisha location nitakavyo kufuata upepo unakovuma!
Halafu Mtoto, tafakari upya kuhusu maisha!! Halafu uige busara za mama zenu shenzi nyie
Unitag chiefKuwa na subira idi ipite utamjua unique flower!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Huyu amewahi tafuta mume humu....Asee ambaye angeingia hiki choo[emoji23][emoji119]
Uwiiih[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakuona ulivyotetemaWe ushindwe kabisa!! Nihonge Milioni wakati nikipoteza 10,000 tu mapigo ya moyo huwa siyaelewi! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bitch plz....kwanza nahis umri nimekupita sana...
Hlf humu jf hatujajiunga juzi km wewe kuja kutafuta mandaga km wewe unavyopost post .wenzio tupo humu ku socialize ndio maana wala hatuhitaj tujulikane....
..unatafuta mume Jf....si ufala huo...manake mtaan kote washakushindwaa
Endele a kutumika[emoji1787]
Ulikuja Jf na higher expectation WAMEKUKULAAAA
BUREEE TENAAA
Katoto tafuta tiba mapema hakiyamungu stress zinakusumbua!Siulisema unataka nikutumi picha zangu usambaze halafu ukasema mimi nikatoto kaarusha ulitaka niwe wa dodoma au waukomazi wenu kamtu kamekoomaa unanilinganisha nae shubameeet
Ndio hivyo mkuu. Alitaka kuniona wakati mi mwenyewe saa mtoto saa ngedere (mbwa hanenepi miguu)
Namnyaka mkuu!Huyu bangiiiii... ht usipoteze muda
Bahati mbaya uongo siujui kivile na najua kufunguka tu! Vipi pale hotel ulipokuwa unafanya kazi bado upo?Video call sinaga simu mie so acha uongooo choo wewe
Usumbufu wa pm haujamuacha salama,maana hili povu si la kitotoVipi walishaacha kukusumbua pm?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Anachukulia 1M kiutani! Vipi kwanza Eid utakuja Dar?Uwiiih[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakuona ulivyotetema
Sent using Jamii Forums mobile app
Walivyokufanya (pole samaki pole)poleee samaki poleee (anayeujua huu wimbo amaalizie basi )
Hahaha,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Anachukulia 1M kiutani! Vipi kwanza Eid utakuja Dar?