Endelea hivyo hivyo huku wenzio tunagonga ngozi mpaka inawambaMimi sio domo zege ila nahisi kawahiwa
Watoto wamejaa jf.Kuna haja ya JamiiForums kuanzisha JUKWAA LA WATOTO.
Mkuu fanya msaada plezEndelea hivyo hivyo huku wenzio tunagonga ngozi mpaka inawambaView attachment 3682154
Hapa silii ila naomba taff ya mtongozo mkuu huyu binti kanizidi nywele hadi mbinuNaona umeamua kukivunja kiapo chako,
JF VAR CHECK
Sio kwa ndugu, rafiki, askari wala mwanajeshi hata kwa mkuu wa nchi siwezi jiliza wala kutia huruma ili nipate kitu fulani au haki fulani nitapambana mwenyewe.
Nimegundua watu hutumia kujiliza kwako au kulalama kwako kama mwanya wa kukukandamiza japo sio wote
- Kazanazo
- kulialia maisha matatizo mtu tena yangu
- Replies: 49
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Mimi sio domo zege ila nahisi kawahiwa