Nilichojifunza kwenye maisha silalamiki wala kulialia na mtu tena nitatatua matatizo yangu mwenyewe

Nilichojifunza kwenye maisha silalamiki wala kulialia na mtu tena nitatatua matatizo yangu mwenyewe

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,875
Reaction score
12,665
Sio kwa ndugu, rafiki, askari wala mwanajeshi hata kwa mkuu wa nchi siwezi jiliza wala kutia huruma ili nipate kitu fulani au haki fulani nitapambana mwenyewe.

Nimegundua watu hutumia kujiliza kwako au kulalama kwako kama mwanya wa kukukandamiza japo sio wote
 
Asili haijawah kuleta watu wabaya wala wazuri maishan mwako ila akili na mtazamo wako ndo unaamua hawa ni watu wabaya au wazuri mkuu kwang mim hakunaga mtu mzuri au mtu mbaya anavyokuja ndivyo namuendea na mim
 
Hayajakukuta mkuu unaweza ukamuona mwenzio kumbe nia yake kukukandamiza inapotokea fursa kwake
 
Back
Top Bottom