realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
Mi staki dhambi bwana 😅😅😅😅Sema ayayah!
Naaaani mtenda miujizaaa?
Mi staki dhambi bwana 😅😅😅😅Sema ayayah!
Naaaani mtenda miujizaaa?
Dhambi ni nini hasa?Mi staki dhambi bwana 😅😅😅😅
huenda upo sahihi nishaumizwa kiasi cha kukitamani kifo nilio waamini kumbe nyoka siyo mapenzi wala maisha nikalia, nikakonda, nikakata tamaa, mwisho nikajifunza kumjua mtu mmoja ambaye ni mimiHayajakukuta mkuu unaweza ukamuona mwenzio kumbe nia yake kukukandamiza inapotokea fursa kwake
Ukijiangalia zaidi na kujipenda utaona maisha ni matamu maani utakuwa humfurahishi.Nilikuwa najua hivyo hata mimi kuwa hakuna baya linalomosa uzuri lakini si sahihi
Ukwel ndio huo! Hamna mtu atakuwa na huruma na wew, tena ukiwa na shida ndo kabsa watu watatumia shida hiyo kukunyanyasa!Labda huko uliko wewe mkuu hapa nilipo mimi hamna
Sijilizi tena kwa mtu nitapambana mwenyewehuenda upo sahihi nishaumizwa kiasi cha kukitamani kifo nilio waamini kumbe nyoka siyo mapenzi wala maisha nikalia, nikakonda, nikakata tamaa, mwisho nikajifunza kumjua mtu mmoja ambaye ni mimi
Watu wanakuja kwako wakiona kuna fursa ikiisha wanaondoka hivyo tegemea mambo ambayo huwazii wakufanyie ndo watayafanya haitakuumiza
Hiyo ni kweli.Fact nimejifunza kupambana pekeangu one man army
Nawewe ukiwemo au umejitoa ni wabay wengine tuWatu ni wabaya mkuu
Kama huruma gani Maana huruma ni nyingi mfano kumhurumia maskinUkitia huruma ndo unakandamizwa zaidi
Mimi sipo kwa ajili ya kujimwambafai ila nimepata funzo siku nyingine ni bora kujipambania mwenyewe kuliko kulialia na kuomba misaada utaishia kuumia zaidi maana utageuzwa fursa na story vijiweniNa wanaojikutaga miamba eti "Nilizaliwa peke yangu nitakufa peke yangu", "I mind my own business" mara nyingi huishia kujinyonga, kulewa kupindukia, kuwachukia watu bure, kuroga, au kutumbukia kadika mazingira hatarishi. (Kuelemewa na mizigo)