Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi yetu iwe 1 tu,kuhubiri neno la bwana hadi stand za mabasiHuku wengi ni wavivu hiyo 50000 atabeti ataliwa mwisho anasema bora afe.
Uzi mzuri Sasa ndo najiuliza Mimi kenzy nikutane na mmburungutu wa hela niwaze kuuacha!
Natamani enzi naanza maisha ningeijuaga JamiiiForums au ningepata mawazo na idea ambazo nazitoa mimi kila siku au ninazokuta watu wamezitoa bure humu humu JF.
Ahsante mkuu kazi nyengine hizi ni kujiweka karibu na huduma ya polisi any time washakuhudumia.Kenzy ukitaka ishi hii dunia kwa raha epuka jiwekea Password
usipokua mwaminifu ina maana umejitia Password wewe mwenyewe
hutoweza pita njia ile,hutoweza katiza mitaa ile,hutoweza hata sogelea maeneo yale
Epuka kujiwekea Pattern kwenye haya maisha, enjoy this country upite kila uchochoro at anytime
bila kuogopa kutafutwa/kukamatwa/etc..Mtaji no 1 Hii dunia ni "Uaminifu" mengine yatafata yenyewe.
Tena wadada wako na advantage kubwa sana katika hili kulinganisha na wakakaKuna dada niliwahi mshauri hivyo ila yeye hakutengeneza BC yeye alikuwa anaacha namba za simu.
Nashukuru Mungu alinielewa na akafanikisha nilichomwambia.
Kwa siku anafanya kazi nyumba 3 hadi 4 anarudi jioni na 12000 au zaidi.
Kwasasa amefanikiwa kufungua kakibanda ka Mpesa na Tigopesa.
Nimependa. Hii kwa nini usiiahimishie kule kwenye "Story of Change"Natamani enzi naanza maisha ningeijuaga JamiiiForums au ningepata mawazo na idea ambazo nazitoa mimi kila siku au ninazokuta watu wamezitoa bure humu humu JF.
Bado unauza chips au ushafungua bonge la hotel unalisha wabunge?Safi sana boss
Wengi hufikiria kuanzia 100 hamna alie tayari kuanzia 1Ime simama Sana hii utajiri uaanazaga kama utani hivi