Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Uthubutu ndio kitu muhimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmekuelewa Sana HAPA MkuuKenzy ukitaka ishi hii dunia kwa raha epuka jiwekea Password
usipokua mwaminifu ina maana umejitia Password wewe mwenyewe
hutoweza pita njia ile,hutoweza katiza mitaa ile,hutoweza hata sogelea maeneo yale
Epuka kujiwekea Pattern kwenye haya maisha, enjoy this country upite kila uchochoro at anytime
bila kuogopa kutafutwa/kukamatwa/etc..Mtaji no 1 Hii dunia ni "Uaminifu" mengine yatafata yenyewe.
DahHii anzia mtaani kwako wanapokujua then una expand,nawaona wanaofanya hii hasa kufua na kufanya usafi tofauti,sio mbaya ila kikubwa ni kuwa na protective gears ktk kufua maji yale machafu kila siku yatakusababishia fungus za vidole miguu ambazo zikikomaa matibabu yake ni gharama,
angefanya kisasa zaid anakua na washing mashine anazunguka ktk guest house hizi hakosi pesa nzuri ,sishauri mtu achezee maji ya sabuni muda mwingi direct ktk ngozi itakucost, but ni idea nzur kwa kijana mtafutaji asie na aibu, ila kwa mwanaume bora ukaoshe magari na pikipiki tu hukosi elfu tatu per each anzia mtaani kwako hakikisha unaosha vyema vinakuasaafiii, utaona wanavyokuja yupo jamaa hadi anawakimbia wateja wake hahaaa
ohoooVipi Yule dada wa gono allipwa ela zake
[emoji3][emoji3][emoji3]Vipi Yule dada wa gono allipwa ela zake
Safi Sana... napenda kuona kuna mtu anaelewa na anaweza jiongeza zaidi.Mada nzuri na mleta mada amezungumzia kufua,kupika kama mfano tu sasa wanaume nao wanataka hizo hizo.
Kikubwa ni uangalie wew una ujuzi gani ambao unaweza fanya bila mtaji na ukajitangaza kwa njia ya business card. Inaweza kua hata ujuzi wa ufundi wa vifaa vya umeme, kuchonga fence, kufundisha watoto hesabu,English ,Dini (qur-ani) kama masomo ya ziada etc.
Mfano mimi ninapenda sana na ninaweza kufanya interior decorations kuanzia kukuchagulia rangi za kuta,sofa mapazia, kukufanyia shopping ya fanicha na mapambo na kukutengenezea pia(natengeneza pia mapambo ya ukutani,mezani ect.) So na mimi nmefikiria kutengeneza hizo cards .
Na kama kuna mtu hapa atahitaji huduma yangu KARIBU.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huku wengi ni wavivu hiyo 50000 atabeti ataliwa mwisho anasema bora afe.
Safi umeupiga mwingiNatamani enzi naanza maisha ningeijuaga JamiiiForums au ningepata mawazo na idea ambazo nazitoa
Duh kweli haiingii akiliniKuandika ni rahisi sana kuliko uhalisia wenyewe.
Nikuulize mleta mada :
Hivi wewe unaweza kufanya hizi kazi ulizoorodhesha kwenye huu uzi wako? Like seriously mwanaume mzima ukafue ch***pi na boksa za wanaume wenzako??
No way, huo ni unyonge kupitiliza. Anyways, wapo wadada wanafanya hizi kazi lakini kibongo bongo wanapitia nyakati ngumu sana.
Kwa Ulaya na Marekani, yes, kuna unafuu fulani kwa wanaofanya hizi kazi. Lakini kwa Wabongo bado hatujastaarabika kabisa. Hata Uarabuni bado sana, wanaofanya hizi kazi wanateseka.
Asikudanganye mtu. Hakuna kazi ngumu kama ya kwenda kumfanyia mtu kazi za usafi ndani kwake. Kibongo bongo inahitaji moyo wa chuma.
Ndio naweza kufua nguo za ndani za mwanaume mwenzanguKuandika ni rahisi sana kuliko uhalisia wenyewe.
Nikuulize mleta mada :
Hivi wewe unaweza kufanya hizi kazi ulizoorodhesha kwenye huu uzi wako? Like seriously mwanaume mzima ukafue ch***pi na boksa za wanaume wenzako??