Huna kazi lakini kwenye simu una 50,000 Tshs tu, ifanyie hiki ninachokushauri...

Huna kazi lakini kwenye simu una 50,000 Tshs tu, ifanyie hiki ninachokushauri...

Huu ni uchafu wa motivational speeker
Mkuu! Naomba umuombe radhi jamaa maana katoa ideas zake tu kwenye kutafuta maisha sidhani Kama kulikuwa na haja ya wewe kumkejeli.

Anyways, fuata maelekezo yangu haya "weka mikono yako kifuani Kisha sema kuanzia Leo naacha uchawi ehe Mungu nisaidie.

Uchawi sio kuroga tu hata kukatisha tamaa wenzio.
 
Ngoja nikupe story moja ya Jamaa aliwahi kuniambia....

Mwindi akikupa tender umpe gharama na wewe ukaqoute pesa ndogo kuliko hata uhalisia bado atakugalaliza na kukwambia upunguze bei.....

Mzungu uki-qoute bei ndogo hakupi kazi atajua either haujui kazi au utafanya kazi isiyo na ubora....

Kwenye hio hadithi mimi nakuongezea.., Wabongo hatuna ustaarabu / utu na labour ni very cheap..., mtu akikupa kazi ya kufua, kuosha vyombo, bustani n.k. jua kabisa pesa utakayolipwa ni kiwango cha kazi hio kama mara ishirini..., kama ni kusafisha nyumba kwa ujira wa siku huenda ikakuchukua wiki... (kwa nchi za magharibi hio ni tofauti minimum wage ni kubwa)

Kwahio ni bora kama ni kibarua uende kwende kazi ambazo bei inaeleweka kama ni day elfu kumi, kumwaga zege, kupakia mizigo n.k.

Unless otherwise unafungua a cleaning agency au agency yoyote ile ya kuwaunganisha wahitaji (na wewe unakula commission kwa jasho lao)
 
Kwa madada ni sawah ila kwa wakiume sishauri aisee ifike kipindi tupeane fursa za zinazofuata tamaduni zetuu na heshima pia kwa jamii
 
Ngoja nikupe story moja ya Jamaa aliwahi kuniambia....

Mwindi akikupa tender umpe gharama na wewe ukaqoute pesa ndogo kuliko hata uhalisia bado atakugalaliza na kukwambia upunguze bei.....
Shukrani Kwa mchango wako mkuu
 
Mkuu! Naomba umuombe radhi jamaa maana katoa ideas zake tu kwenye kutafuta maisha sidhani Kama kulikuwa na haja ya wewe kumkejeli.

Anyways, fuata maelekezo yangu haya "weka mikono yako kifuani Kisha sema kuanzia Leo naacha uchawi ehe Mungu nisaidie.

Uchawi sio kuroga tu hata kukatisha tamaa wenzio.
Unakuta uyu ambaye ameleta hii aidi amekaa ofisini anakula tozo na Kodi za wananchi
Kaa ukifahamu wachawi wanapenda kuona watu wanafanya kazi za ovyo, kwa hiyo mi napinga,
Mchawi anafurahi akimuona msomi anenda kubeba zege, kufua nguo nyumba za watu na kazi zingine za kuzalilika.
 
Sasa kipi bora mkuu...? uendelee kusota kitaa na usomi wako huku ukibagua kazi kuwa "hii kazi haifanywi na wasomi"

Au ufanye kazi yoyote halali ilimradi upate namna ya kujikimu? Kumbuka ukiwa na elimu na hauna pesa kabisa na hata hiyo kazi hauna...hakuna atakayekuonea huruma...sanasana utabezwa na jamii hiyo hiyo kuwa wewe ni msomi uchwara.

Ni heri nidhalilike nikifanya odd jobs na huku nikipata namna ya kujikimu kuliko nikae kitaa bila shughuli na niwe mtu wa vizinga kila siku kwa marafiki na ndugu.

Ktk nchi ambayo nafasi 8 za kazi wanaitwa watu 9702 kwenye usaili unadhani kuna unafuu huko mtaani...? It is getting more harder kila siku. Ndiyo maana mwamba amekupa mojawapo ya idea ambayo mtu anayeendelea kusubiria ajira anaweza kujikwamua...kama akiweka aibu pembeni.

The street does not care whether wewe ni msomi au lah...ukipambana unatoboa.
 
Kuna dada niliwahi mshauri hivyo ila yeye hakutengeneza BC yeye alikuwa anaacha namba za simu.

Nashukuru Mungu alinielewa na akafanikisha nilichomwambia.

Kwa siku anafanya kazi nyumba 3 hadi 4 anarudi jioni na 12000 au zaidi.

Kwasasa amefanikiwa kufungua kakibanda ka Mpesa na Tigopesa.
Yani 12000 tu ndounakuja kutoa ushuhuda humu bullshit
 
Back
Top Bottom