maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
- Thread starter
-
- #61
mbona nyie saizi mnaji edit sana kila kitu kwenu ni mchina tuuNa hawakuchagua kujiumba hivyo tena hamna mwanadamu awezaye kuongeza hata urefu wa kidole chake.
wewe mwenye roho nzuri it's your timekuna watu wanaroho mbaya
hela ninayo ila siwezi kumsaidia mtu ambaye hana sura wala churaAisee ..chakushangaza na wewe huna hela.
pole sana kwa matatizo uliokutana nayo, washukuru walokusaidia maana mi bila chura hupati msadaSo sad
Nataman ningemsaidia huyo mdada
Hapa nilipo ni kwa msaada wa watu nakumbuka kipind nikiwa omba omba nikiomba hata naul ya kwenda shule ... Sabab ya mwanamke niliyempenda ... Ooh my God still she betrayed me despute her beautifullness
Umeona ukisoma bila kukomenti utakua umedhulumika??
ukaamua kukoment pumba
Bila shaka wewe ni wa kizazi cha Lawi, kile kilicholaaniwa. Kwa hiyo sikulaumukwan mungu wanawake alimuumbia nani?
kama alijiumbia yeye sawa sipaswi kuhukumu ila kama aliniumbia mimi nakosoa tuu
atamnyimaje mtu vyote no sura even chura!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] eti akitabasamu kama anataka kupiga chafyaUsikosoe kazi ya Mungu , na yule mwenye miguu yote ya kushoto utasemaje ? Akicheka ni kama analia , akitabasamu ni kama anataka kupiga chafya . Mwanamke ni tabia !!
tunaishi kwa kutegemeana mkuu mi mwenyewe nategemea waniombe msaada ili niipate chura kiulainiDuuuh....sasa mkuu kwani kila mwanamke unayemsaidia lazma umtumie kingono?? Huenda ni kweli alkuwa anao uhitaji wa hzo huduma na ww ungetakiwa kumsaidia bila kutegemea kutunikiwa mapenzi..mbona ni simple tu jmn...kwa nilivyokusoma,inaonekana uwezo wa kumsaidia tu kirafiki ulikuwa nao ila inavoonekana ni kuwa huwez kumsaidia mwanamke pasipi kutunikiwa ngono....
Jitafakari brother.
usihukumu usije ukahukumiwaBila shaka wewe ni wa kizazi cha Lawi, kile kilicholaaniwa. Kwa hiyo sikulaumu
Unikomeshe mimi? Unanijua unajikomesha mwenyewe mie sihitaji wakunioa sahizinaoa kwa kukukomesha wewe
mambo mengine mbele kwa mbele ila muhimu ni churaUtajuaje chini!
asante mungu ubarikiwe uumbaji wako[emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 929143
sema tu hayupo sio hauitaji kuolewa maana unajidanganya mwenyeweUnikomeshe mimi? Unanijua unajikomesha mwenyewe mie sihitaji wakunioa sahizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe usifikiri kila aliepo humu ni hana kazi hana muda wengine humu nisehemu ya kupata habri hatujaja kutafuta wanaume kwani huku tunakoishi ni porini au wanaume wamaana wanapatikana kwenye keyboard, basi acha ushamba basi hata kidogo wewe huna dada au shangazi acha hizo basisema tu hayupo sio hauitaji kuolewa maana unajidanganya mwenyewe
Hiyo tabia ya kukashifu dada zetu inakera ww huna mama au dada acha utotohabarini wakuu poleni na majukumu, katika pita pita zangu mtaani nikakutana na binti mmoja hivi kwa kifupi mbaya maana hana sura wala chura
sikutaka kumsalimia maana nlimuona kama kisiriri kwangu hafiti popote ata kulia na ndimu hafai
Asa kumbe kinashida bwana, kama uwajuavyo hawa viumbe wakiwa na shida huwa hawachoki kujisalimisha kikasema mambo nikakiambia poa, kikaniuliza mzima nikakijibu ndio hofu kwako
Nilipokiambia hivo si ndo kikaanza kuelezea shida zake kwanza kikasema kina njaa balaa pili kikasema kuna sehemu inatakiwa kiende asa kimekwama nauli tatu mama yake anaumwa koo kinaomba nikiunge mkono kama nimeguswa
mi nkamwambia pole dada na matatizo ila mimi mwenyewe niko vibaya labda tukionana tena ntakusapoti
ila kimoyo moyo nikawa nawaza binti huna sura huna chura unasaidiwaje kwa mfano?
mjini ukiwa na kimoja kati ya sura au chura huwezi kosa sponsor