Huna sura huna chura, nakusaidiaje

Huna sura huna chura, nakusaidiaje

Na hawakuchagua kujiumba hivyo tena hamna mwanadamu awezaye kuongeza hata urefu wa kidole chake.
mbona nyie saizi mnaji edit sana kila kitu kwenu ni mchina tuu

bado tu kuanza kuchina
 
So sad

Nataman ningemsaidia huyo mdada

Hapa nilipo ni kwa msaada wa watu nakumbuka kipind nikiwa omba omba nikiomba hata naul ya kwenda shule ... Sabab ya mwanamke niliyempenda ... Ooh my God still she betrayed me despute her beautifullness
pole sana kwa matatizo uliokutana nayo, washukuru walokusaidia maana mi bila chura hupati msada
 
Usikosoe kazi ya Mungu , na yule mwenye miguu yote ya kushoto utasemaje ? Akicheka ni kama analia , akitabasamu ni kama anataka kupiga chafya . Mwanamke ni tabia !!
 
Duuuh....sasa mkuu kwani kila mwanamke unayemsaidia lazma umtumie kingono?? Huenda ni kweli alkuwa anao uhitaji wa hzo huduma na ww ungetakiwa kumsaidia bila kutegemea kutunikiwa mapenzi..mbona ni simple tu jmn...kwa nilivyokusoma,inaonekana uwezo wa kumsaidia tu kirafiki ulikuwa nao ila inavoonekana ni kuwa huwez kumsaidia mwanamke pasipi kutunikiwa ngono....
Jitafakari brother.
 
kwan mungu wanawake alimuumbia nani?

kama alijiumbia yeye sawa sipaswi kuhukumu ila kama aliniumbia mimi nakosoa tuu

atamnyimaje mtu vyote no sura even chura!
Bila shaka wewe ni wa kizazi cha Lawi, kile kilicholaaniwa. Kwa hiyo sikulaumu
 
[emoji4][emoji4][emoji4]
78732.jpeg
 
Usikosoe kazi ya Mungu , na yule mwenye miguu yote ya kushoto utasemaje ? Akicheka ni kama analia , akitabasamu ni kama anataka kupiga chafya . Mwanamke ni tabia !!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] eti akitabasamu kama anataka kupiga chafya
 
Duuuh....sasa mkuu kwani kila mwanamke unayemsaidia lazma umtumie kingono?? Huenda ni kweli alkuwa anao uhitaji wa hzo huduma na ww ungetakiwa kumsaidia bila kutegemea kutunikiwa mapenzi..mbona ni simple tu jmn...kwa nilivyokusoma,inaonekana uwezo wa kumsaidia tu kirafiki ulikuwa nao ila inavoonekana ni kuwa huwez kumsaidia mwanamke pasipi kutunikiwa ngono....
Jitafakari brother.
tunaishi kwa kutegemeana mkuu mi mwenyewe nategemea waniombe msaada ili niipate chura kiulaini



afu kuna chura zingine zina baraka uki do nayo tu milango ya mafanikio inafunguka
 
sema tu hayupo sio hauitaji kuolewa maana unajidanganya mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe usifikiri kila aliepo humu ni hana kazi hana muda wengine humu nisehemu ya kupata habri hatujaja kutafuta wanaume kwani huku tunakoishi ni porini au wanaume wamaana wanapatikana kwenye keyboard, basi acha ushamba basi hata kidogo wewe huna dada au shangazi acha hizo basi
 
habarini wakuu poleni na majukumu, katika pita pita zangu mtaani nikakutana na binti mmoja hivi kwa kifupi mbaya maana hana sura wala chura

sikutaka kumsalimia maana nlimuona kama kisiriri kwangu hafiti popote ata kulia na ndimu hafai

Asa kumbe kinashida bwana, kama uwajuavyo hawa viumbe wakiwa na shida huwa hawachoki kujisalimisha kikasema mambo nikakiambia poa, kikaniuliza mzima nikakijibu ndio hofu kwako

Nilipokiambia hivo si ndo kikaanza kuelezea shida zake kwanza kikasema kina njaa balaa pili kikasema kuna sehemu inatakiwa kiende asa kimekwama nauli tatu mama yake anaumwa koo kinaomba nikiunge mkono kama nimeguswa

mi nkamwambia pole dada na matatizo ila mimi mwenyewe niko vibaya labda tukionana tena ntakusapoti

ila kimoyo moyo nikawa nawaza binti huna sura huna chura unasaidiwaje kwa mfano?

mjini ukiwa na kimoja kati ya sura au chura huwezi kosa sponsor
Hiyo tabia ya kukashifu dada zetu inakera ww huna mama au dada acha utoto
 
Nimejaribu kufutilia neno kwa neno kuona ubaya wa huyo binti na kosa la kukuomba msaada ni vitu viwili tofauti kama ni ubaya ndio huo Mungu aliomjaalia dunia ni mapito yamewezekana mimi na wewe tukawa walemavu kesho... je uhandsome wako utakuwa na maana tena
 
Back
Top Bottom