Huna sura huna chura, nakusaidiaje

Una roho ya mnyama ww
Huna utu ht kidogo
Unaangalia sura na shep ndio umsaidie binadamu mwenzio?
Mungu akusaidie
 
Hata wewe mwambie nimemwambia angalia usije oa wahivyo hivyo, eti ataoa kwa kunikomesha mimi,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui bado mtoto una ndugu wakike halafu unatukana wanawake atazaa watoto wahivyo hivyo
Hiyo tabia ya kukashifu dada zetu inakera ww huna mama au dada acha utoto
 
unaweza ukawa na kazi, nyumba na mshahara mzuri ila ukawa na uhitaji wa mwanaume sahihi

kua na kazi haina maana huna uhitaji

afu atakama unaishi mjini wanaume wanaweza wakawa wengi ila mwanaume unaemuhitaj hayupo
 
Kweli janga la taifa huyu ndiye awe kichwa cha familia kweli? Sijui itakuwa familia ya namna gani nikweli janga la taifa
Kweli mama kama wanaume ndiyo ss hivi bac janga la taifa
 
Hata wewe mwambie nimemwambia angalia usije oa wahivyo hivyo, eti ataoa kwa kunikomesha mimi,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui bado mtoto una ndugu wakike halafu unatukana wanawake atazaa watoto wahivyo hivyo
Tatizo utoto mwanaume ukifanya jambo hutangazi ukiona anae tangaza huyo mtoto wa mama
 
Mimi nawewe hatuendani hivyo nakuacha kama ulivyo, mimi najikubali pia namkubali kila binadamu ninaye kutana naye awe yupo vipi siwezi mtema mate kesho yangu siijui, kuna mtu anaweza toka mzima nyumbani jioni anarudi mlemavu, hivyo kiumbe kama binadamu sina ugomvi wa maumbile ya Mungu, kila raheri
unaweza ukawa na kazi, nyumba na mshahara mzuri ila ukawa na uhitaji wa mwanaume sahihi

kua na kazi haina maana huna uhitaji

afu atakama unaishi mjini wanaume wanaweza wakawa wengi ila mwanaume unaemuhitaj hayupo
 
Kweli janga la taifa huyu ndiye awe kichwa cha familia kweli? Sijui itakuwa familia ya namna gani nikweli janga la taifa
naona wenye IQ ndogo mnasapotiana mmeshindwa kubisha kwa hoja mmehamia kwene familia
 
Tatizo utoto mwanaume ukifanya jambo hutangazi ukiona anae tangaza huyo mtoto wa mama
Kweli kabisa, kuna kaka alikuwa akicheka wanawake wenye nyonyo kubwa nakusema hawezi oa mwanamke kama baunsa lakini huwezi amini ndiye aliye naye mie mwanafunzi kwa mzigo alionao, hapo hajaoa bado atampata tu
 
Una roho ya mnyama ww
Huna utu ht kidogo
Unaangalia sura na shep ndio umsaidie binadamu mwenzio?
Mungu akusaidie
mi nasaidia wenye chura tu

siwezi tupa jiwe kwene maji bora nionekane nna roho mbaya ila ukweli ndo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…