Huna sura huna chura, nakusaidiaje

Huna sura huna chura, nakusaidiaje

Dahhhh
Unamadharau sana.
Hivi kweli unatumia maneno haya kwa binadamu “kikasema”, “kikaniuliza”
Shame on you [emoji2959][emoji2959]
hizi dharau zote ni sababu hana sura wala chura
 
Rafiki yule dada aliomba msaada au kwa lugha rahisi aliomba sadaka na sio urafiki.. sasa nashidwa kuelewa namna ya kuomba msaada inaigiaje na sura au chura na ili iweje baada ya yeye kuwa na hivyo vitu
ata kama tapeli sio mbaya swali linakuja ana chura au sura
 
Sio vizuri kama huna chakumsaidia sema sina, kwani ke hawasaidiagi wanaume? Usikufuru kazi ya MOLA hiyo
 
Rafiki yule dada aliomba msaada au kwa lugha rahisi aliomba sadaka na sio urafiki.. sasa nashidwa kuelewa namna ya kuomba msaada inaigiaje na sura au chura na ili iweje baada ya yeye kuwa na hivyo vitu
ili mtu kwangu asaidiwe awe ana either sura or chura
 
hilo dua la kuku wewe
hujafa hujaumbika wewe kaka,leo hii unakiona kiumbe cha Mungu hana sura wala chura but kumbuka within one minute hata wewe hiyo sura na chura vinaweza potea..
 
So sad

Nataman ningemsaidia huyo mdada

Hapa nilipo ni kwa msaada wa watu nakumbuka kipind nikiwa omba omba nikiomba hata naul ya kwenda shule ... Sabab ya mwanamke niliyempenda ... Ooh my God still she betrayed me despute her beautifullness
 
Back
Top Bottom