Huna Wajibu wa kumtunza au kumhudumia Mzazi wako akiwa chini ya miaka 60 kama haumwi

Kweli hizo sheria za kitibeli.

Ila sisi wapemba tunakaa na wazazi wetu na wake zetu plus watoto yaani tunakaa kiukoo zaidi.

Yote kwa yote MUNGU ni mwema Sana.

Sio kosa pia.

Mzazi kutomtegemea mtoto wake itamaanisha atakuwa makini na utafutaji pamoja na matumizi ya kile atakachojaliwa na Mungu wake
 
Badilisha rangi uwe mzungu kama kila kitu cha kiuafrika unakiponda na nimeshakuona kwenye nyuzi nyingi

Uzungu upo wapi mkuu?
Nimekuambia hata hapa Afrika hakuna nchi hata moja ambayo inasheria ya mtoto kumhudumia mzazi.

Wanasheria, majaji na mahakimu wapo hapa wao wanajua nazungumzia nini. Mtu wa kawaida huwezi Elewa
 
Kajichubue uwe mzungu
Nimekwambia uzi zako nyingi sio huu tu lazima zinakipengele cha kuuponda uafrika
 
Wapo kiongozi. Na ndugu yangu huyo Kwa wakwe anaweza akaenda hata mara 5 Kwa mwaka ila Kwa wazazi waliomsomesha kwenda lamda iwe msiba na tukio la lazima sana

Huyo ni Mpumbavu ingawaje anahaki ya kuamua maisha yake pia.

Watu wenye Haki isiyozidi kikawaida ni werevu na wenye Hekima
 
Kajichubue uwe mzungu
Nimekwambia uzi zako nyingi sio huu tu lazima zinakipengele cha kuuponda uafrika

Uafrika sio ujinga.
Ñinyi ndio mnautambulisha kama uafrika ni ujingaujinga.

Ni sawa na wale Watu wanaotambulisha Uanaume kama ukatili na ubabe. Jambo ambalo sio Sahihi
 
Sheria za dunia na nchi haisemi popote kuwa unatakiwa umhudumie mzazi wako. Kumaanisha sio wajibu wa mtoto kumhudumia mzazi wake.
Kwenye dini hasa dini kongwe kama ukristo na Uyahudi. Hakuna sheria ya kumhudumia mzazi hata moja. Bali mzazi ndiye katika umri huo anatakiwa kutoa urithi kwa watoto.

Kiafrika, watoto ni watumwa wa wazazi. Kabla ya ujio wa wageni mtoto ni mtumwa wa mzazi wake.

Mantiki ya andiko ni kuwa Wazee ndio UNAOWAJIBU wa kuwatunza na kuwahudumia.
Na watoto wadogo.
Mkuu Robert,

Suala la mtoto kumsaidia mzazi sidhani kama linahitaji sana sheria. It’s all about LOVE.
sababu kuingiza sheria kwenye upendo ni jambo gumu sana.

mtoto wa miaka 18 ni mtu mzima anaweza kujitegemea, lakini wazazi wanaendelea kulea watoto hao mpaka pale wanapoona sasa anaweza kujisimamia.

sihitaji wazee wangu wafike 60+ ili niwahudumie sababu sidhani kama ipo sheria ya kusema ni lazima uwahudumie wazazi wakiwa 60+
ILA hayo yote ni upendo wetu kwa wazazi na ile bond tuliyotengeneza.

Ukiona unaona ni mzigo kuhudumia mzazi aliyekulea nafikiri kuna shida mahali mimi huwa najisikia furaha hasa mama anapodeka akisema mwanangu nipo sehemu fulani Embu ntumie kiasi kadhaa nitatuma zaidi ya ile.

Mama namuungia banda la kuongea na mb za wiki nzima, baba yangu lazima niwe nampelekea gazeti la kusoma kila nitapoenda nyumbani, anafurahi sana na huwa napata kumbukumbu nzuri pindi alipokuwa akirudi nyumbani na gazeti mkononi.

Mzazi anatunzwa katika umri wowote ule.
 
Umeongea bonge la point hongera sana
 
Mtibeli Leo yupo na wazee wetu around 50+ yrs

Hii vita sijui itaishaje.

My dad yupo around 60+
My mama 50+

Ila wote wapo financial broke
Hapa Africa wazazi wetu walikuwa wakitazama mbele ya PUA zao hawakupenda kujishughulisha kuwaza 20 yrs to come Maisha yatakuaje . so we need to support them ili wasiteseke thats is love and life.

It pain and it is so funny .
 
Huyo ni Mpumbavu ingawaje anahaki ya kuamua maisha yake pia.

Watu wenye Haki isiyozidi kikawaida ni werevu na wenye Hekima
Mimi nachoweza kusema kama unaweza kwenda baa ukazungusha round bill ikaja laki na ukalipa na ikawa kawaida sioni shida kumsaidia mzazi hata kama angekuwa under 50, mzazi ni Bora kuliko hao Malaya wa baa kula na kusaza wakati naweka roho ngumu Kwa wazazi. Sio kwamba hata sisi wengine hatukuwahi kukutana na situation wazazi wanajaribu kututegemea angali tuko kwenye majukumu pasua kichwa kama kujenga? Tuliwabania vizuri tu lakini life lilipotengamaa tulirudisha fadhila
 
Mtibeli Leo yupo na wazee wetu around 50+ yrs

Hii vita sijui itaishaje.

My dad yupo around 60+
My mama 50+

Ila wote wapo financial broke
Hapa Africa wazazi wetu walikuwa wakitazama mbele ya PUA tao hawakupenda kujishughulisha kuwaza 20 yrs to come Maisha yatakuaje .

It pain and it is so funny .
Wazazi wa kiafrika huwezi walaumu ni mfumo wa maisha ya kiafrika upo hivyo
Wengi wetu hata sahivi ukiaambiwa unatakiwa uende india lazima upitishe bakuli

Mfumo wetu wa maisha ni wa kubangaiza kuanzia kwa serekali mpaka kwa wananchi
 
Mimi nachoweza kusema kama unaweza kwenda baa ukazungusha round bill ikaja laki na ukalipa na ikawa kawaida sioni shida kumsaidia mzazi hata kama angekuwa under 50, mzazi ni Bora kuliko hao Malaya wa baa kula na kusaza wakati naweka roho ngumu Kwa wazazi. Sio kwamba hata sisi wengine hatukuwahi kukutana na situation wazazi wanajaribu kututegemea angali tuko kwenye majukumu pasua kichwa kama kujenga? Tuliwabania vizuri tu lakini life lilipotengamaa tulirudisha fadhila

Nafikiri unanielewa.
 
Kuna reply nimemjibu kama hivi hajaijibu
 
Back
Top Bottom