Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #121
Mwalimu asipoeleweka kwa aliowafundisha jua tatizo liko kwa mwalimu.
Soma kwa ufahamu kama mwanaume acha kutumia hisia unaposoma mambo yanayokuzunguka ikiwemo post za Watu