Huna Wajibu wa kumtunza au kumhudumia Mzazi wako akiwa chini ya miaka 60 kama haumwi

Robert Heriel Mtibeli unaboa sana unajiona kama unajielewa ila hujitambui kabisa tema cheche itabakia wewe ni mtu mmoja unakera sana unajiona na biashara uliyo nayo ndio imekuharibu ukaona watu shit,

Safari bado huu wimbo kaangalie you tube .

View: https://youtu.be/DBrZ06tU91g?si=YEDS2YMSlPqO9sQl

Huu wimbo unadhirisha kitu kama unaakili. Ambayo sijui kama ipo kwenye hiyo akili yako ya mkate.

Kusaidia ni moyo kama huna utatumia visingizio vingi kama mleta uzi
 
Vita dhidi ya umasikini siyo nyepesi, inafaa wazazi na watoto kuungana bila kurudishana nyuma wala kutegeana kuupiga teke umasikini
 
Robert Heriel Mtibeli unaboa sana unajiona kama unajielewa ila hujitambui kabisa tema cheche itabakia wewe ni mtu mmoja unakera sana unajiona na biashara uliyo nayo ndio imekuharibu ukaona watu shit,

Safari bado huu wimbo kaangalie you tube .

View: https://youtu.be/DBrZ06tU91g?si=YEDS2YMSlPqO9sQl

Huu wimbo unadhirisha kitu kama unaakili. Ambayo sijui kama ipo kwenye hiyo akili yako ya mkate.

Ungekuja na hoja Mkuu.
Hivi kwa nini Watanzania wengi mnashindwa kutetea hoja za upande mliopo?
 
Kama ilivyo kwa mzazi hana wajibu wa kukutunza na kukuhudumia pindi ufikishapo umri wa kujitegemea yaani kuanzia miaka 21 hivi kwa sisi Watibeli. Na kwa sheria za dunia ni miaka 18. Basi ndivyo hivyohivyo kuwa mtoto hana wajibu wa kumtunza na kumhudumia mzazi au mlezi ambaye yupo chini ya miaka 60 ambaye HAUMWI(hana tatizo la kiafya).
Mkuu Robert,

Umri wa mzazi aliye chini ya miaka 60 hapaswi kuhudumiwa hiyo ni kwa mujibu wa sheria?

Na kuhusu miaka 18 mtoto anakuwa mtu mzima anaweza kujitegemea, ni kweli wazazi huwa wanawaacha? Ni watoto wangapi huanza kujitegemea katika umri huo haswa mjini?
 
Jambo la hekima hili
Ukisubiria hawa watoto uje uwategemee Kwa Kila kitu tegemea kugombana nao na wakati mwingine hata kuwatolea maneno ya laana.

Me najipanga ili nisije kuwa mzigo Kwa watoto.

Nataka niwe na viakiba vyangu ili hata ikitokea naumwa na nalazimika kwenda India/South Africa basi nisiwasumbue watoto zaidi ya kuwaomba sapoti ya wao kunipeleka lakini sio msaada wa Kiuchumi.
 
Mkuu Robert,

Umri wa mzazi aliye chini ya miaka 60 hapaswi kuhudumiwa hiyo ni kwa mujibu wa sheria?
Sheria za dunia na nchi haisemi popote kuwa unatakiwa umhudumie mzazi wako. Kumaanisha sio wajibu wa mtoto kumhudumia mzazi wake.
Kwenye dini hasa dini kongwe kama ukristo na Uyahudi. Hakuna sheria ya kumhudumia mzazi hata moja. Bali mzazi ndiye katika umri huo anatakiwa kutoa urithi kwa watoto.

Kiafrika, watoto ni watumwa wa wazazi. Kabla ya ujio wa wageni mtoto ni mtumwa wa mzazi wake.

Na kuhusu miaka 18 mtoto anakuwa mtu mzima anaweza kujitegemea, ni kweli wazazi huwa wanawaacha? Ni watoto wangapi huanza kujitegemea katika umri huo haswa mjini?

Mantiki ya andiko ni kuwa Wazee ndio UNAOWAJIBU wa kuwatunza na kuwahudumia.
Na watoto wadogo.
 
Ila maisha bhana, utakuta watu kama mtoa mada ukweni hata wakikohowa tu msaada ashafikisha haraka Sana ila Kwa wazazi wake mpaka awasimange kwanza
 
Ukisubiria hawa watoto uje uwategemee Kwa Kila kitu tegemea kugombana nao na wakati mwingine hata kuwatolea maneno ya laana.

Me najipanga ili nisije kuwa mzigo Kwa watoto.

Nataka niwe na viakiba vyangu ili hata ikitokea naumwa na nalazimika kwenda India/South Africa basi nisiwasumbue watoto zaidi ya kuwaomba sapoti ya wao kunipeleka lakini sio msaada wa Kiuchumi.

Na hiyo ndio Haki na Mungu anavyotaka ufanye.
Huna huwezi wa kumlaani yeyote kisa hakuhudumii na upo umri wa kujitegemea.
Biblia inasema amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu. Tena mtoto wake.
 
Sheria za dunia na nchi haisemi popote kuwa unatakiwa umhudumie mzazi wako. Kumaanisha sio wajibu wa mtoto kumhudumia mzazi wake.
Kwenye dini hasa dini kongwe kama ukristo na Uyahudi. Hakuna sheria ya kumhudumia mzazi hata moja. Bali mzazi ndiye katika umri huo anatakiwa kutoa urithi kwa watoto.

Kiafrika, watoto ni watumwa wa wazazi. Kabla ya ujio wa wageni mtoto ni mtumwa wa mzazi wake.

Mantiki ya andiko ni kuwa Wazee ndio UNAOWAJIBU wa kuwatunza na kuwahudumia.
Na watoto wadogo.
Badilisha rangi uwe mzungu kama kila kitu cha kiuafrika unakiponda na nimeshakuona kwenye nyuzi nyingi
 
Back
Top Bottom