MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Big brother has said, the rest mkae kimya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Russia mwenyewe katoa msimamo kwamba atakae ingilia VITA hi atajua hajui, tamk hilo halikujalisha kama wewe ni member wa NATO au laa; anyway, umesoma hapa lakini?Akijitoa NATO ndo atavamiwa kiraisi tu na Russia, kamwe Russia hawezi kuthubutu kuvamia mwanachama wa NATO.
Samahani kwa kukwambia wewe ni kichwa kigumuUwe unasoma na kuelewa usiwe unasoma tu, ni wapi nimesema Ukraine ni mwanachama wa NATO?
JidanganyeAkijitoa NATO ndo atavamiwa kiraisi tu na Russia, kamwe Russia hawezi kuthubutu kuvamia mwanachama wa NATO.
Umekairika!?Si ajitoe NATO, anasubiri nini?.
Ililazimika kuingia kutokana na mazingira yaliyokuwepo😂 hivi haka ka nchi si ndio kwenye vuguvugu la vita ya kwanza kalikuwa kaanzilishi au nimekabaka..?
Mbona Kuna mataifa kibao tu yameshajihusisha na hii vita Russia hajafanya kitu!Russia mwenyewe katoa msimamo kwamba atakae ingilia VITA hi atajua hajui, tamk hilo halikujalisha kama wewe ni member wa NATO au laa; anyway, umesoma hapa lakini?
"The reason for making this decision is that such deliveries might become targets of hostile military action and ... we have to ensure the security of Hungary ... that we are not getting involved in that war," Szijjarto said after meeting Kosovo Foreign Minister Donika Gervalla.
Pole kwa kukuambia una uelewa mdogo sana.Samahani kwa kukwambia wewe ni kichwa kigumu
Je kama kuna mtu kashikishwa ukuta na Putin unadhani atasema au utasikia?Mbona Kuna mataifa kibao tu yameshajihusisha na hii vita Russia hajafanya kitu!
Anasubiri kichapo kikoleeSi ajitoe NATO, anasubiri nini?.
Kwan Putin akiinamishwa unafikiri atasema?Je kama kuna mtu kashikishwa ukuta na Putin unadhani atasema au utasikia?
We fikiria kama baba ako akiinamishwa kama atakwambiaKwan Putin akiinamishwa unafikiri atasema?
Afu ukome kumtukana putin pambafu weyeKwan Putin akiinamishwa unafikiri atasema?
Umefikiria kuhusu baba yako akiingiziwa kitu chenye ncha Kali back atakuambia?!We fikiria kama baba ako akiinamishwa kama atakwambia
Putin wanamshughulikia huko katulia tuli wala hasemi, kama unateseka nenda na wewe wakakushughurikieAfu ukome kumtukana putin pambafu weye