Hungary, mjumbe wa NATO, yasema haitaruhusu NATO kupitishia silaha zake kwenye nchi hiyo kwenda Ukraine

Akijitoa NATO ndo atavamiwa kiraisi tu na Russia, kamwe Russia hawezi kuthubutu kuvamia mwanachama wa NATO.
Russia mwenyewe katoa msimamo kwamba atakae ingilia VITA hi atajua hajui, tamk hilo halikujalisha kama wewe ni member wa NATO au laa; anyway, umesoma hapa lakini?
"The reason for making this decision is that such deliveries might become targets of hostile military action and ... we have to ensure the security of Hungary ... that we are not getting involved in that war," Szijjarto said after meeting Kosovo Foreign Minister Donika Gervalla.
 
Putin atatia adabu tu, vikwazo vya kiuchumi vitamlainisha taratibuu..
As of now soko la hisa la benki yake leo siku ya tatu halija trade..
 
Kama vipi wakapitishie kwa Biden [emoji2],misilaha yao,!!
 
Russia mwenyewe katoa msimamo kwamba atakae ingilia VITA hi atajua hajui, tamk hilo halikujalisha kama wewe ni member wa NATO au laa; anyway, umesoma hapa lakini?
"The reason for making this decision is that such deliveries might become targets of hostile military action and ... we have to ensure the security of Hungary ... that we are not getting involved in that war," Szijjarto said after meeting Kosovo Foreign Minister Donika Gervalla.
Mbona Kuna mataifa kibao tu yameshajihusisha na hii vita Russia hajafanya kitu!
 
Back
Top Bottom