Hungary, mjumbe wa NATO, yasema haitaruhusu NATO kupitishia silaha zake kwenye nchi hiyo kwenda Ukraine

Kiukwel atakaye mtukana putin tunamtafuta tumkabizi hata kama yupo majohe yani umtukane tupigwe wote
 
Hao NATO hawana msaada wowote zaid ya kuweka vikwazo, vikwazo na huku watu wameshakufa na mji umeharibiwa inasaidia nn bora kuwa neutral tu
 
Mbona Kuna mataifa kibao tu yameshajihusisha na hii vita Russia hajafanya kitu!
Du; basi sawa! Kuna watu wengi tu pia wamevuka mtu hawakuliwa na mamba, hi hamaanishi kwamba mto hauna mamba mkuu, kila mmoja anajilinda apendavyo na aonavyo. Mnataka kuipangia na Hungary namna ya kujilinda?
 
Na ndo ujue tembo hawezi kuacha kunywa maji kisa chura anapiga kelele.
 
wanajua kubweka tu nawao ndo sababu watu wanakufa NATO ndo wamepelekea hiki kinachotokea Ukraine wangetakiwa wawe mstari wa mbele kumsaidia Ukraine urusi sasa anajipigia tu Hana upinzani NATO s watu wa kuwaaamin
Kwa uelewa wako NATO wangeingia vitani watu wasingekufa eti?! Unashindwa kuelewa NATO wakiingia vitani ndo watu watakufa zaidi! Na kwamba NATO kutoingia vitani inapunguza watu kufa zaidi!.
 
Kwa uelewa wako NATO wangeingia vitani watu wasingekufa eti?! Unashindwa kuelewa NATO wakiingia vitani ndo watu watakufa zaidi! Na kwamba NATO kutoingia vitani inapunguza watu kufa zaidi

Kwa uelewa wako NATO wangeingia vitani watu wasingekufa eti?! Unashindwa kuelewa NATO wakiingia vitani ndo watu watakufa zaidi! Na kwamba NATO kutoingia vitani inapunguza watu kufa zaidi!.
Nawew kwa uelewa wako unafikir ndo Leo urussi anavamia Ukraine unafikir watu hawafi zaid kipind hiki hajaingia watu wanakufa wengi tu urussi hata acha kuvamia atavamia tena na tena kwa taarifa yako urussi alishavamia Georgia pia juz katungua ndege tatu za Romania emb NATO wajaribu kuvamia Belarus Kama urus atasita kuingia vitan dawa ya kukomesha uvamiz wa urusi n moto kwa moto tu s vikwazo dawa ya moto n moto
 
Mbona unarukaruka kama bisi kikaangoni?! Hoja yako ni watu wengi wanakufa na NATO haisaidii kuzuia, je NATO kuingia vitani ni kupunguza mauaji au kuongeza mauaji?
 
Mauaji yataongezeka lakini usalama wa kudumu utakuwa wa uhakika na ilikuwa n wajibu wa NATO kuisaidia Ukraine haijalishi nn kitatokea
 
Back
Top Bottom