Ukimuondoa Mwenyezi Mungu na Shetani hakuna wa kumsumbua Putin hapa dunianiPutin wanamshughulikia huko katulia tuli wala hasemi, kama unateseka nenda na wewe wakakushughurikie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimuondoa Mwenyezi Mungu na Shetani hakuna wa kumsumbua Putin hapa dunianiPutin wanamshughulikia huko katulia tuli wala hasemi, kama unateseka nenda na wewe wakakushughurikie
Hadi Sasa anahenyeshwa na Comedian Fulani [emoji23][emoji23]Ukimuondoa Mwenyezi Mungu na Shetani hakuna wa kumsumbua Putin hapa duniani
Mwanaume hana mda na ngonjeraPutin wanamshughulikia huko katulia tuli wala hasemi, kama unateseka nenda na wewe wakakushughurikie
Mwamba hana Mipaka kwenye kupigaaSi ajitoe NATO, anasubiri nini?.
Hii Kali hahaUkimuondoa Mwenyezi Mungu na Shetani hakuna wa kumsumbua Putin hapa duniani
Wamarekani wa tandahimba wanasema urusi hamna kitu urusi ni muogaa nyie kangamoko vipiHee hiv kumbe huyu mjomba putin ni balaa kiasi hicho??
Kajifungia Kremlin wakati mwanaume mzee wa mamovie yuko mstari wa mbele anakinukisha.Mwanaume hana mda na ngonjera
Tupo unasemaje?[emoji23][emoji23][emoji23]
Team Putin
Haha au siyoKajifungia Kremlin wakati mwanaume mzee wa mamovie yuko mstari wa mbele anakinukisha.
Du; basi sawa! Kuna watu wengi tu pia wamevuka mtu hawakuliwa na mamba, hi hamaanishi kwamba mto hauna mamba mkuu, kila mmoja anajilinda apendavyo na aonavyo. Mnataka kuipangia na Hungary namna ya kujilinda?Mbona Kuna mataifa kibao tu yameshajihusisha na hii vita Russia hajafanya kitu!
Na ndo ujue tembo hawezi kuacha kunywa maji kisa chura anapiga kelele.Du; basi sawa! Kuna watu wengi tu pia wamevuka mtu hawakuliwa na mamba, hi hamaanishi kwamba mto hauna mamba mkuu, kila mmoja anajilinda apendavyo na aonavyo. Mnataka kuipangia na Hungary namna ya kujilinda?
Ukitaka NATO wafanyeje ili watu wasife?!Hao NATO hawana msaada wowote zaid ya kuweka vikwazo, vikwazo na huku watu wameshakufa na mji umeharibiwa inasaidia nn bora kuwa neutral tu
wanajua kubweka tu nawao ndo sababu watu wanakufa NATO ndo wamepelekea hiki kinachotokea Ukraine wangetakiwa wawe mstari wa mbele kumsaidia Ukraine urusi sasa anajipigia tu Hana upinzani NATO s watu wa kuwaaaminUkitaka NATO wafanyeje ili watu wasife?!
Kwa uelewa wako NATO wangeingia vitani watu wasingekufa eti?! Unashindwa kuelewa NATO wakiingia vitani ndo watu watakufa zaidi! Na kwamba NATO kutoingia vitani inapunguza watu kufa zaidi!.wanajua kubweka tu nawao ndo sababu watu wanakufa NATO ndo wamepelekea hiki kinachotokea Ukraine wangetakiwa wawe mstari wa mbele kumsaidia Ukraine urusi sasa anajipigia tu Hana upinzani NATO s watu wa kuwaaamin
Kwa uelewa wako NATO wangeingia vitani watu wasingekufa eti?! Unashindwa kuelewa NATO wakiingia vitani ndo watu watakufa zaidi! Na kwamba NATO kutoingia vitani inapunguza watu kufa zaidi
Nawew kwa uelewa wako unafikir ndo Leo urussi anavamia Ukraine unafikir watu hawafi zaid kipind hiki hajaingia watu wanakufa wengi tu urussi hata acha kuvamia atavamia tena na tena kwa taarifa yako urussi alishavamia Georgia pia juz katungua ndege tatu za Romania emb NATO wajaribu kuvamia Belarus Kama urus atasita kuingia vitan dawa ya kukomesha uvamiz wa urusi n moto kwa moto tu s vikwazo dawa ya moto n motoKwa uelewa wako NATO wangeingia vitani watu wasingekufa eti?! Unashindwa kuelewa NATO wakiingia vitani ndo watu watakufa zaidi! Na kwamba NATO kutoingia vitani inapunguza watu kufa zaidi!.
Mbona unarukaruka kama bisi kikaangoni?! Hoja yako ni watu wengi wanakufa na NATO haisaidii kuzuia, je NATO kuingia vitani ni kupunguza mauaji au kuongeza mauaji?Nawew kwa uelewa wako unafikir ndo Leo urussi anavamia Ukraine unafikir watu hawafi zaid kipind hiki hajaingia watu wanakufa wengi tu urussi hata acha kuvamia atavamia tena na tena kwa taarifa yako urussi alishavamia Georgia pia juz katungua ndege tatu za Romania emb NATO wajaribu kuvamia Belarus Kama urus atasita kuingia vitan dawa ya kukomesha uvamiz wa urusi n moto kwa moto tu s vikwazo dawa ya moto n moto
Mauaji yataongezeka lakini usalama wa kudumu utakuwa wa uhakika na ilikuwa n wajibu wa NATO kuisaidia Ukraine haijalishi nn kitatokeaMbona unarukaruka kama bisi kikaangoni?! Hoja yako ni watu wengi wanakufa na NATO haisaidii kuzuia, je NATO kuingia vitani ni kupunguza mauaji au kuongeza mauaji?