Mnandanganya na CCM.. Kwa nini middle income status ya kenya inawakera hivo.. Nyinyi ni LDC hata mkileta matusi siku nzima. Haitabadili chochoteTakwimu za kwenye makaratasi mnazoandaa kujifariji lazima muweke zinazowafariji. Ndiyo maana huwa mnajidanganya nyie ni middle income state, wakati hali yenu Ni sawa na Burundi.
Mna maisha magumu Sana nyie wagalatia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tecno s1Hayo maandishi mie sijaweza kuyasoma. Labda ubora was simu yangu sio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini tunamaisha mazuri kuliko wakenya ,mtanzania hakosi chakula labda kwa uvivu wake,watanzania tunaishi kwenye nyumba za kisasa,sasa endeleeni kuimba middle income huku kwenye ground mambo ni tofauti.watanzania tunajilimia chakula.Mnandanganya na CCM.. Kwa nini middle income status ya kenya inawakera hivo.. Nyinyi ni LDC hata mkileta matusi siku nzima. Haitabadili chochote
You've the same status of LDCMnandanganya na CCM.. Kwa nini middle income status ya kenya inawakera hivo.. Nyinyi ni LDC hata mkileta matusi siku nzima. Haitabadili chochote
Mindset yako imekaa kimashindano mashindano. Unadhani Tanzania tunalima kwaajili ya kushindanishwa na nchi nyingine.Ha ha.. Ukulima mnaofanya ni ule wa peasant farming.. Iweje kenya inazalisha farm products kwenye sector nyingine kuliko Tanzania?? Ni zao gani ambalo mnaongoza Africa???
Niliwaambia mtembee mtazame nchi zingine ili CCM ikome kuwadanganya eti nyinyi mko bora.. TZ NI LDC..Lakini tunamaisha mazuri kuliko wakenya ,mtanzania hakosi chakula labda kwa uvivu wake,watanzania tunaishi kwenye nyumba za kisasa,sasa endeleeni kuimba middle income huku kwenye ground mambo ni tofauti.watanzania tunajilimia chakula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunazalisha pia..na kwa sector nyingine tuko mbele yenu..Mindset yako imekaa kimashindano mashindano. Unadhani Tanzania tunalima kwaajili ya kushindanishwa na nchi nyingine.
Ondoa hiyo mentality kijana. Hatifanyi kazi ili tulinganishwe na nani.
1. Tunaziada ya mahindi
2. Tunaziada ya Mchele
3. Tunaziada ya mtama
4. Tunaziada ya muhogo
5. Tunaziada ya ndizi
6. Tunaziada ya viazi
7. Tunaziada ya maharage
8. Tunaziada ya mifugo
Tembelea Tanzania mkoa wowote, watu wanakula na kusaza.
Tunakukaribisha uje ujionee.
Duh!! Yamekuwa hayo tena!!! Kwani ni ugomvi.Niliwaambia mtembee mtazame nchi zingine ili CCM ikome kuwadanganya eti nyinyi mko bora.. TZ NI LDC..
Sisi tunazalisha pia..na kwa sector nyingine tuko mbele yenu..
Kati ya tz na kenya ipi inapika GDP?Go argue your case with IMF and the World Bank.. Then uletee magufuli apike takwimu.. Kama anavyopika GDP
Ondoa mentality ya ushindani. Sisi tunataka output.Sisi tunazalisha pia..na kwa sector nyingine tuko mbele yenu..
Usitake sasa tuanza kukuaibisha humuSisi tunazalisha pia..na kwa sector nyingine tuko mbele yenu..
Niliwaambia mtembee mtazame nchi zingine ili CCM ikome kuwadanganya eti nyinyi mko bora.. TZ NI LDC..
Sisi tunazalisha pia..na kwa sector nyingine tuko mbele yenu..
Nimekuja kugundua Tanzania na labda Burundi ni nchi pekee Afrika mashariki zinazojiamini na hazina muda wa kufuatilia majirani zao wanafanya nini. Ukienda Kenya,Uganda, Rwanda wapo busy kuchunguza mapungufu ya jirani zao iliku boost self esteem zao. Mtu mwenye akili anafahamu tosha nchi zote za kiafrika zina uchumi duni.Duh!! Yamekuwa hayo tena!!! Kwani ni ugomvi.
Umeongelea kuhusu Tanzania inanjaa. Tumekuuliza hiyo njaa ipo maeneo yapi!? Ili tutoe taarifa kwa vyombo husika watu waweze kuwajibishwa!?
Unaanza kusema tutembelee nchi zingine!!!
Huu ni ujinga uliopitiliza.Tuende kwenye nchi zingine tukafanye nini!?
Hayo maandishi mie sijaweza kuyasoma. Labda ubora was simu yangu sio.
Sent using Jamii Forums mobile app