Hunger in Tanzania - njaa Tanzania

Hunger in Tanzania - njaa Tanzania

Takwimu za kwenye makaratasi mnazoandaa kujifariji lazima muweke zinazowafariji. Ndiyo maana huwa mnajidanganya nyie ni middle income state, wakati hali yenu Ni sawa na Burundi.

Mna maisha magumu Sana nyie wagalatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnandanganya na CCM.. Kwa nini middle income status ya kenya inawakera hivo.. Nyinyi ni LDC hata mkileta matusi siku nzima. Haitabadili chochote
 
Mnandanganya na CCM.. Kwa nini middle income status ya kenya inawakera hivo.. Nyinyi ni LDC hata mkileta matusi siku nzima. Haitabadili chochote
Lakini tunamaisha mazuri kuliko wakenya ,mtanzania hakosi chakula labda kwa uvivu wake,watanzania tunaishi kwenye nyumba za kisasa,sasa endeleeni kuimba middle income huku kwenye ground mambo ni tofauti.watanzania tunajilimia chakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha.. Ukulima mnaofanya ni ule wa peasant farming.. Iweje kenya inazalisha farm products kwenye sector nyingine kuliko Tanzania?? Ni zao gani ambalo mnaongoza Africa???
Mindset yako imekaa kimashindano mashindano. Unadhani Tanzania tunalima kwaajili ya kushindanishwa na nchi nyingine.

Ondoa hiyo mentality kijana. Hatifanyi kazi ili tulinganishwe na nani.
1. Tunaziada ya mahindi
2. Tunaziada ya Mchele
3. Tunaziada ya mtama
4. Tunaziada ya muhogo
5. Tunaziada ya ndizi
6. Tunaziada ya viazi
7. Tunaziada ya maharage
8. Tunaziada ya mifugo

Tembelea Tanzania mkoa wowote, watu wanakula na kusaza.
Tunakukaribisha uje ujionee.
 
Lakini tunamaisha mazuri kuliko wakenya ,mtanzania hakosi chakula labda kwa uvivu wake,watanzania tunaishi kwenye nyumba za kisasa,sasa endeleeni kuimba middle income huku kwenye ground mambo ni tofauti.watanzania tunajilimia chakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwaambia mtembee mtazame nchi zingine ili CCM ikome kuwadanganya eti nyinyi mko bora.. TZ NI LDC..
 
Mindset yako imekaa kimashindano mashindano. Unadhani Tanzania tunalima kwaajili ya kushindanishwa na nchi nyingine.

Ondoa hiyo mentality kijana. Hatifanyi kazi ili tulinganishwe na nani.
1. Tunaziada ya mahindi
2. Tunaziada ya Mchele
3. Tunaziada ya mtama
4. Tunaziada ya muhogo
5. Tunaziada ya ndizi
6. Tunaziada ya viazi
7. Tunaziada ya maharage
8. Tunaziada ya mifugo

Tembelea Tanzania mkoa wowote, watu wanakula na kusaza.
Tunakukaribisha uje ujionee.
Sisi tunazalisha pia..na kwa sector nyingine tuko mbele yenu..
 
Niliwaambia mtembee mtazame nchi zingine ili CCM ikome kuwadanganya eti nyinyi mko bora.. TZ NI LDC..
Duh!! Yamekuwa hayo tena!!! Kwani ni ugomvi.
Umeongelea kuhusu Tanzania inanjaa. Tumekuuliza hiyo njaa ipo maeneo yapi!? Ili tutoe taarifa kwa vyombo husika watu waweze kuwajibishwa!?

Unaanza kusema tutembelee nchi zingine!!!
Huu ni ujinga uliopitiliza.Tuende kwenye nchi zingine tukafanye nini!?
 
Sisi tunazalisha pia..na kwa sector nyingine tuko mbele yenu..
Ondoa mentality ya ushindani. Sisi tunataka output.

Je, kwanini kila mwaka kenya wanalia njaa!?
Nipe jibu hilo kwanza ndio tuendelee.
 
Sisi tunazalisha pia..na kwa sector nyingine tuko mbele yenu..
Usitake sasa tuanza kukuaibisha humu
Screenshot_20200427-082257.png
 
Duh!! Yamekuwa hayo tena!!! Kwani ni ugomvi.
Umeongelea kuhusu Tanzania inanjaa. Tumekuuliza hiyo njaa ipo maeneo yapi!? Ili tutoe taarifa kwa vyombo husika watu waweze kuwajibishwa!?

Unaanza kusema tutembelee nchi zingine!!!
Huu ni ujinga uliopitiliza.Tuende kwenye nchi zingine tukafanye nini!?
Nimekuja kugundua Tanzania na labda Burundi ni nchi pekee Afrika mashariki zinazojiamini na hazina muda wa kufuatilia majirani zao wanafanya nini. Ukienda Kenya,Uganda, Rwanda wapo busy kuchunguza mapungufu ya jirani zao iliku boost self esteem zao. Mtu mwenye akili anafahamu tosha nchi zote za kiafrika zina uchumi duni.
 
Anamatatizo ya akili huyu muache tu , Sasa ndio kapost nini hata mwenyew ukimwambia asome awez halafu bado aje Tz aje kufanya uchunguzi anafanya kazi ya kugoogle wakati watz hata hatugoogle kuhusu njaa ya Kenya Bali tunawasikia kila siku wakilialia Sasa yeye ajaona wa Tanzania kulia njaa anaenda kugoogle, kwa kutumia Google hata marekani Nchi tajir utaambiwa Ina njaa
Hayo maandishi mie sijaweza kuyasoma. Labda ubora was simu yangu sio.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom